Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

Huyu atakuwa na ujauzito wa mume wa mtu.
 
pole dada mwambie naomba laki tano nakaribia kujifungua tatizo kama ni mchepuko ndiyo utakomaa sababu sa hizi wanadili na familia zao tu
Tena ukikuta mke nae kauzuu..ndio utajuta...utashangaa linakuwa lao moja mtu na mkewe.
 
Namuonea huruma
Kuna mtu alikua kakaa baa kalewa ..baa medi kamkalia pembeni anashika shika mwaume kidev..mwenye mke akatokea kamchapa makofi baa medi ya kutosha...yule mume asimgeke baa med akawa upande w mkewe eti bora mke wangu amezidi eti nimekaa hapa ananishika shika ...mkomeshe[emoji12] [emoji12] [emoji12] wakaondoka kishujaa mtu na mkewe baa med kaachwa ktk mshangao jinsi bwana alivyomgeuka na ukute kosa c lake ...mambo ya chumbani ya mke na mume ni kuyaacha tu..
 
Asante kwa kunisahihisha. Ni mume wa mtu nilijua baadae kabisa na mimba ilishaingia sikua na cha kufanya tena. Ina maana mtu akiwa mume wa mtu haruhusiwi kulea ujauzito wake? Angejijua mume wa mtu asingenidanganya.
Pole sana, watakulaumu ila hawajui tunayopitia wanawake hasa wasichana unaweza pelekwa nyumbani kwake kabisa kumbe mkewe anafanya kazi mkoa mwingine tena ndoa mbichi
 
th
Niko kwenye stage ya mwisho wa ujauzito ila mambo naona yamekua mengi na mimi ndo kwanza naanza maisha ila baba wa mtoto yuko vizuri na anajua situation yangu vizuri kabisa. Hapa nilipofikia nahitaji msaada hasa wa kifedha lakini mwenzangu haonyeshi kunisupport japo anajua kabisa nina kiumbe chake na uwezo wa kunisaidia anao. Nawezaje kumwambia anisaidie hapa nilipofikia sababh toka mwanzo mpaka hapa hajawahi nitumia hata elfu moja inisaidie kwenye ujauzito.
Naombeni mawazo yenu maana sijui pa kuanzia.
there is alwayz another side of the stor.... tuambie what happened mpaka ikafkia hali hyo ili tujue tnaanzia wapi kushauri n tunashauri nn
 
Hizo mimba zenu za bahati mbaya ndio zilivyo hamjapanga kuzaa tayari una mimba mwisho Wa siku huwa hivyo .


Mwenzio hana time na wewe kwa kuwa hamkuwekana sawa .kama mlipanga usingekuja huku kuomba jinsi ya kumuambia hili.

Mliwezaje kupanga kupata mtoto kama hamuwezi kupanga kumtunza, na kama hujui hata umwambieje?
 
Pole mwaego ndo wanaume walivyo,maongo maongo tu unaweza kujikuta unaua aisee maana hapo amekuharibia mustakabali wa maisha yako na mtu ukishakuwa single mother kuolewa inakuwa muujiza baada ya apo kila mtoto na baba ake,unakosa raha ya kuwa na familia yako na mume wako mwenyewe.


I curse all married men msiosema ukweli,mwambie ukweli alfu mtu aamue mwenyewe kuhusu ombi lako
 
Mlipanga upate ujauzito?,pengine mwenzio alipanga mle raha kwanza,mimba baadae sana..
 
YYYYYYY.jpg
 
Love Pole sana, ila kama hajawahi kupa tang uwe na mimba what makes you think atakupa sasaivi? ila kaza moyo na jaribu
 
Kweli sipendi kuomba omba sababu mtu akininyima huwa namchukia kabisa afu sipendi kuwa disappointed. Wote hatukuidhamiria mimba na alitaka niitoe nikamwambia sitaitoa akasema sawa nitakusupport lakini baadae akaja akatuma hela niende nikatoe nikamwambia sitatoa. Akakaa kimya muda mrefu sana labda alihisi nimetoa baada ya miezi kadhaa nikamtafuta mimi nikamwambia sijatoa mimba ili ajue ana mtoto. Akarespond vizuri tu baada ya hapo akakaa kimya tena. Nikaja kumtafuta tena nikamuuliza anataka mtoto amtambue kama baba yake au nijue jina la kumuandika mtoto kwenye cheti akasema yeye ndo baba wa mtoto na atanitafuta tuongelee mustakabali wa ujauzito hapo ilikua miezi kama miwili toka nimtumie ujumbe wa kutotoa.
Akakaa kimya tena. Week mbilj zilizopita nikamchek tena kumwambia nakaribia kujifungua akitaka kumtafuta mwanae yuko huru ila kwa kuwa ameshajijua ndo baba basi mtoto atachukua majina yake kama baba. Akaonyesha kuwa na.furaha kabisa ila sasa hawezi nitafuta mpaka nimtafute na hajawahi hata kunisupport financially. Hiyo ndo story behind
mh nwanaume wa mtu.sumu...SORRY ni kabila gan huyo mwanaume
 
Back
Top Bottom