Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

Hatujawahi kuongelea mimba ilitokea tu ikaingia sikutaka kutoa. Clinic hawana shida. Najielewa sana ndo maana sikutaka kutoa ujauzito hata aliponipa hela niende nikatoe. Labda kama kujieleaa ulimaanisha sikutakiwa kuwa na mwanaume kama huyo

Alitaka ukatoe mimba yake? Basi hana mpango na hiyo mimba. Je ni mme wa mtu?
 
MAMMY mtarajiwa, kama una akaunti benki mkumbushe kwamba anatakiwa atimize wajibu wake kama anafahamu kwamba huo ni ujauzito wake.

Anatakiwa aanze jumamosi hii akingize fedha ya dharura halafu kila wiki akuwekee angalau laki moja za kujikimu.

Ni laki nne hizo na ni mbali ya fedha zingine za vifaa vya mtoto

Umefanya shopping ya vifaa vya mtoto yaani kitanda, nappies na wipes, vifaa vya vyakula chupa za maziwa na vingine muhimu.

Vipi moses basket na beseni la kuogeshea mtoto?

Hatua za mwanzo ni muhimu sana asicheze na maisha ya kittoto chetu bwana.

Anza kumbana taratibu kwa simu .

Acc bank ninayo. Ila kuanza kumwambia naomba hela ya kitu flani ndo nakosa ujasiri huo sababu anaonyesha kabisa hataki majukumu japo ujauzito anakiri ni wake. Anyway nitajaribu kumwambia kama wengine walivyoshauri ila asiponisaidia ntaumia sana.
 
Nimesikitika Sana kama Mimi vile..Mungu akutie nguvu mumie...Ni bora ujifanye kauzu umwambie nahitaji kiasi kadhaa muda umefika uonee respond yake.

Shime Kwa wadada na wakaka mimba zinaepukika tuache uzembe..Tupangeni jameni watoto wasitulamu Kwa maamuzi yetu.
 
Kuna kitu nyuma ya pazia apa..Inavyoonekana ushawahi gombana nae na ukampa shit kuwa asijihusishe na lolote kwenye io mimba kuhusiana na io mimba,,sasa yamekuzidia wakati wenyewe mgumu huu wa magu ndio umeona ujirudi so unaomba ushauri ujirudi vipi..cha msingi omba msamaha then omba hela io,ucpozingatia utajiumiza tu mwisho wa siku.
 
Asante kwa kunisahihisha. Ni mume wa mtu nilijua baadae kabisa na mimba ilishaingia sikua na cha kufanya tena. Ina maana mtu akiwa mume wa mtu haruhusiwi kulea ujauzito wake? Angejijua mume wa mtu asingenidanganya.
Anaweza ila tatizo linakuja kama mkewe hajui kitu lazima atamkwamisha mana hakuna mwanamke/mwanaume anayependa kuibiwa chakula chake ndomana nimekwambia itakuwa changamoto kwako..ila kikubwa mwambie ukweli kuwa umekwama unahitaji msaada wa kifedha kwa ajili ya kliniki na mambo mengine ya kujua afya ya hicho kiumbe atakuelewa tu ila mkewe akijua ndo tatizo
 
Dhaaaa!! Dunia imejaas mattz. Pole sana dada
 
Kuna kitu nyuma ya pazia apa..Inavyoonekana ushawahi gombana nae na ukampa shit kuwa asijihusishe na lolote kwenye io mimba kuhusiana na io mimba,,sasa yamekuzidia wakati wenyewe mgumu huu wa magu ndio umeona ujirudi so unaomba ushauri ujirudi vipi..cha msingi omba msamaha then omba hela io,ucpozingatia utajiumiza tu mwisho wa siku.

Hatujawahi kugombana hata siku moja. Labda tulipishana maneno alivyotaka nitoe nikakataa ila hatuna ugomvi wowote mimi na yeye na mpaka sasa nikimchek tunaongea vizuri tu.
 
Nimesikitika Sana kama Mimi vile..Mungu akutie nguvu mumie...Ni bora ujifanye kauzu umwambie nahitaji kiasi kadhaa muda umefika uonee respond yake.

Shime Kwa wadada na wakaka mimba zinaepukika tuache uzembe..Tupangeni jameni watoto wasitulamu Kwa maamuzi yetu.

Thanks my dear. Inabidi nivae ukauzu tu. Maji yamenifika shingoni siwezi tena kujihudumia.
 
Acc bank ninayo. Ila kuanza kumwambia naomba hela ya kitu flani ndo nakosa ujasiri huo sababu anaonyesha kabisa hataki majukumu japo ujauzito anakiri ni wake. Anyway nitajaribu kumwambia kama wengine walivyoshauri ila asiponisaidia ntaumia sana.

Mpe "Ultimatum" kwamba unataka kuonana nae na kama haiwezekani itabidi ujongelee mlangoni kwake.

Ukifanya hivyo unakuwa na mashahidi wako kama wawili au watatu.
 
Alitaka ukatoe mimba yake? Basi hana mpango na hiyo mimba. Je ni mme wa mtu?

Yeah alitaka nikatoe ila sasa kama hana mpango mbona haniambii kama haitambui mimba zaidi anasisitiza mimba ni yake na tutakaa tuongee jinsi ya kumlea mtoto. Naona anafocus kwa mtoto zaidi kuliko ujauzito. Lakini kama anatambua kuna mtoto anakuja kwanin asijali na ujauzito. Ni mume wa mtu ila mke wake haishi bongo na alinidanganya hana mke kabla hatujaanza mahusiano.
 
Kama kashindwa kulea mimba ataweza kumlea mtoto? Kama utaweza kujiongeza itakua vizuri,usimtegemee mtoto wako atateseka na wewe utateseka pia. Pole sana Dada.
 
Wakuu huyu mdada kaja kuomba ushaurii amuanze vipi baba wa mtoto ili amsaidie koz ana kiumbe chake, mi naomba tujaribu kumshauri positive way nini cha kufanya

Sababu watoto wengi unakutwa wametupwa jararani,chooni sababu hii tuu ya kukosa malezi ya pande mbili na mzazi anakuwa desperate hajui cha kufanya anakuwa middle of nowhere

Dada we jifungue kwanza then mengine yatafata but usichukue maamuzi ya kukitupa hicho kiumbe....!
 
Back
Top Bottom