jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,990
- 4,361
Dunia ina mengi.
Inasikitisha na kushangaza kuona mtu mliyekuwa mnafanya tendo adhimu leo imekuwa tabu kwake kutimiza wajibu wake na wewe kutafuta madesa ya jinsi ya kumfanya akusaidie.
Kama bado mnawasiliana mwambie tu kwa kifupi kuwa muda wa kupalilia shamba na kukuza mazao umefika hivyo afanye sehemu yake.