bailamos
Senior Member
- Nov 14, 2015
- 188
- 122
mimba inatoka kwa wote siyo mmoja isipokuwa ewe mwanamke unazo njia zakuzuia mimba kwann upokee halafu kingine wanawake mnaofanyakazi mnakuwa na dharau sana kwa wanaume wenu mnaona kila kitu mnawezakufanya pasipokuwa na mwanaume haya ndo matokeo yake
Huyo aliyemtia mimba tena mume mwenye familia alikuwa hajui hizo njia..Ifike wakati na ninyi wakaka mjielewe..