Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,603
- 1,385
SEMA NI MIMBA YAO SIYO YA MWANAUME PEKE YAKEUbahili hadi kwenye mimba yake?!
SEMA NI MIMBA YAO SIYO YA MWANAUME PEKE YAKEUbahili hadi kwenye mimba yake?!
Jikaze tu Dada, me nimelea peke angu hadi kujifungua hajawahi hata kuleta hela ya sabun, now mtoto ana miezi Saba
Pole sana dadake, kuna usemi unasema usipoomba au usiposema shida yako kunakua na option moja tu ya kukosa unachotaka, lakini unaomba au unaposema shida yako kunakua na option mbili ya kukosa au kupata. Kuna watu wengi hawawezi kutoa msaada pasipo kuombwa kusaidia. Mwambie hari yako ya kifedha sio nzuri kwa sasa unahitaji support yake. unaomba akusaidie. Atakusaidia tu.
Pole sana! Nasema pole kwa vile utaumia mtoto akikua anamtafuta baba yake na wanaelewana. Kawaida nashauri mama kuhakikisha aliyempa mimba anawajibika tangu mimba ina mwezi mmoja hadi afikishe miaka 18. Mifano ni mingi sana mkuuJikaze tu Dada, me nimelea peke angu hadi kujifungua hajawahi hata kuleta hela ya sabun, now mtoto ana miezi Saba
Wakati mwingine na wao waache hasira na misemo ati "siwezi kushindwa kulea hii mimba hata K nitauza ili nimlee mwanangu" unategemea nini baada ya hapoWanawake jaman kuweni makini sana, mnakubali kugeuzwa kama chapat nawapita njia hamjui hata wanaishi wap, nainavyoonesha mlikuwa mnakutana lodge wakat ilikupasa akupeleke kwake nandio ilikuwa njia rahis yakumjua kama anamke, namwisho wasiku nyie ndio mnaoumia pole sana dada yangu ila usimuonee aibu kumwambia mahitaj yako kwasababu niwajibu wake ikibid mtishie hata kumfata kwake.
Haina jinsi..Fanya hivyo usikilizie..usisahau kujipanga baada ya kujifungua..maana hapo baba kashainyesha so mhudumiajiThanks my dear. Inabidi nivae ukauzu tu. Maji yamenifika shingoni siwezi tena kujihudumia.
Pamoja kwamba kabeba mimba ya mume Wa MTU..kwa nini umshutumu yeye tu?he huyo mume Wa mtu alipokuwa anafanya alikuwa hajui yeye no mume Wa MTU..ifike kipindi wakaka mkubali kutokuwa wazembe...jukumu LA kupanga uzazi ni LA woteUNABEBA MIMBA KWA MUME WA MTU UNA AKILI WEWE? KWANZA KWANINI UBEBE MIMBA BILA YA KUOLEWA?
kupokea mimba bila ya kuolewa ni utovu wa ni dhamu katika familia hata vitabu vya mungu vyote vyakatazaPamoja kwamba kabeba mimba ya mume Wa MTU..kwa nini umshutumu yeye tu?he huyo mume Wa mtu alipokuwa anafanya alikuwa hajui yeye no mume Wa MTU..ifike kipindi wakaka mkubali kutokuwa wazembe...jukumu LA kupanga uzazi ni LA wote
Ulimpaje sasa?Hatujaoana na tunaishi mbali mbali. Ni jukumu lake yes ila hajawahi kunisupport kwenye ujauzito mpaka hapa ulipofikia.
Huwa inatoka kwa Nani?Kama kjipa saw a..Anayempa na anayepokea wote wanachakujibukupokea mimba bila ya kuolewa ni utovu wa ni dhamu katika familia hata vitabu vya mungu vyote vyakataza
Omba kama yeye alivyoanza kukuomba Papuchi!.Niko kwenye stage ya mwisho wa ujauzito ila mambo naona yamekua mengi na mimi ndo kwanza naanza maisha ila baba wa mtoto yuko vizuri na anajua situation yangu vizuri kabisa. Hapa nilipofikia nahitaji msaada hasa wa kifedha lakini mwenzangu haonyeshi kunisupport japo anajua kabisa nina kiumbe chake na uwezo wa kunisaidia anao. Nawezaje kumwambia anisaidie hapa nilipofikia sababh toka mwanzo mpaka hapa hajawahi nitumia hata elfu moja inisaidie kwenye ujauzito.
Naombeni mawazo yenu maana sijui pa kuanzia.
mimba inatoka kwa wote siyo mmoja isipokuwa ewe mwanamke unazo njia zakuzuia mimba kwann upokee halafu kingine wanawake mnaofanyakazi mnakuwa na dharau sana kwa wanaume wenu mnaona kila kitu mnawezakufanya pasipokuwa na mwanaume haya ndo matokeo yakeHuwa inatoka kwa Nani?Kama kjipa saw a..Anayempa na anayepokea wote wanachakujibu