Lengo ni kupata uelewaMkuu kenya kuna ulinzi mkali mtakamatwa huko alshababu unakotaka kwenda bora ujifunze kimakonde uende zako mtwara ukalime korosho, huko uarabuni ACHA KANISA
Kiarabu sio kiislamu mashehe wengi hii lugha hawaijuiNgara hakuna wanazuoni wa kiisilamu,nenda Katoro au bukoba mjini kigoma ujiji mwanza ukerewe kuna chuo kinaitwa alijazira
Kama unaelewa ulitumua njia zipi[emoji1] [emoji1787] [emoji23] kwa hiyo ukikaa na waarabu wanaongea kikwao unaelewa? Kwa sababu maneno mengi ni kiswahili?
Yaani hata wakiongea na kusema maneno yao yafanane na kiswahili huwezi kulisikia litakupita tu
Nilikaa na wacomoro siku moja sasa wakawa wanaongea ile lugha unatega sikio unafikiri ni kiswahili kumbe wapi hata neno moja sikuambulia
Ila kiarabu mimi nakijua sana kusoma na kuongea fluently
Hongera na me natamani nijue lugha zote hasa kiarabu na kiispanyolaJamaa anasema eti kama unafahamu kiswahili basi kiarabu hakitakusumbua
Hilo ndio napinga maana ni lugha mbili tofauti kabisa
Kuna maneno ya kiarabu hata kulitamka ni kazi kwa mfano 3ain
Mimi nilikuwa uarabuni na nilijifunza na kuelewa kwa miaka 2 tu nina uwezo wa kushika haraka lugha na sasa naongea lugha 5
Huwa hamuelewekiKiarabu hakifungani na uislam ni lugha nzuri tu
Kuna nchi zinakemea pepa kwa jina la yesu kwa kutumia kiarabu
Download app ya duolingo, onana na watu wa misikitini huko lazima wanafahamu walimu wa lugha hiyo.Nahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
Hapo pagumu kumbe hadi uishi na native speakers ndo kuweza ku masterDownload app ya duolingo, onana na watu wa misikitini huko lazima wanafahamu walimu wa lugha hiyo.
Ila jua kua Kiarabu ni lugha ya zamani kama Kilatini hivi, lugha ya quran, na magazeti na taarifa ya habari ya kiarabu ni tofauti na viarabu vya mtaani
Unaweza ukaweza kusoma na kuelewa Kiarabu cha magazetini na tivii (Kiarabu rasmi, yani modern standard arabic, kilichotokana na Kiarabu cha qurani) ila ukashindwa kuongea na watu mitaani huko uarabuni
Huwa hamueleweki
Mtu ajivaa kanzu Bar mnasema anatukanisha UISLAM ila akifumaniwa na kanzu mnasema ni vazi la kiarabu halihusiani na Udislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii lugha imenisumbua sana nikiwa markaz(mahdu bilal) ila alhamdulillah kwasasa kifahamu..walimu utapata mchawi pesa tuNahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
Sheikh asijue kiarabu labda mganga huyo..sema wee umemtafuta mtu tu kwa kuwa ni muislamu.....Sheikh mwenye elimu ya dini hakuna asiyejua kiarabu.....acha uongo.Nahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
So unakijua kiarabu 🤔🤔🤔Hii lugha imenisumbua sana nikiwa markaz(mahdu bilal) ila alhamdulillah kwasasa kifahamu..walimu utapata mchawi pesa tu
Nilikaa miaka 10 uarabuniKama unaelewa ulitumua njia zipi
Labda
Namna ya kusalimia
Kujitambulisha
Kutaja vitu mbalimbali
Tamaduni zingine za lugha hiyo
labda kwa matamshi lakini kuandika ni mziki huwa wanaandika kutoka kulia kwenda kushotoNenda ZANZIBAR.
by the way Kama unafaham Kiswahili vizur basi kiarabu hakitakusumbua sana
Nadhani wewe ulikuwa na mazingira mazuri ya kuzungumza kwa vitendiNilikaa miaka 10 uarabuni
Jambo la kwanza ni kujichanganya na wao kwa upande wa kazi na pia kuwa na marafiki vijana wenzangu ninaofanya nao kazi
Pia marafiki wa mtaani kwangu nilijuana nao kwa hobbies zangu za kuwa na fast cars
Hii ilinifanya nijifunze lugha haraka mpaka misemo ya kihuni [emoji1]
Nilikuwa kijana bado kwa hiyo nilijifunza na lugha nyingine pia
Kujifunza kwa wakati huo ilikuwa kwa vitendo yaani uwe na wanaoongea
Ila sasa unajifunza hata ukiwa peke yako kwa audio na video pia