byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 4,254
- 5,511
wewe unamjibia kama nani??Vyote.
wewe unamjibia kama nani??Vyote.
Kujiunga alsha bibi.Unataka kunifanyia nini hio lugha?
Mkuu kenya kuna ulinzi mkali mtakamatwa huko alshababu unakotaka kwenda bora ujifunze kimakonde uende zako mtwara ukalime korosho, huko uarabuni ACHA KANISANahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
Kiingereza pia..Ukitaka kingine nitag
Na Kijerumani ila inawezekana ukipata mafunzo kwa audio na video tunajifunza kwa Kusoma, Kuandika na Kusikia KKKkuna lugha ambazo hauwez kujifunza mwenyewe kiarab ni moja wapo.miaka elfu
Zanzibar au Kilimanjaro?Kiarabu kama unakijua ni deal. Lugha kadhaa za kigeni ukizijua ni deal
Waislam wenyewe hawajui kiarabu wanaishia kukariri juzuu tu 😅😅😅Nahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
Kijerumani mkuu, doetschZanzibar au Kilimanjaro?
Ngara hakuna wanazuoni wa kiisilamu,nenda Katoro au bukoba mjini kigoma ujiji mwanza ukerewe kuna chuo kinaitwa alijaziraNahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] kwa hiyo ukikaa na waarabu wanaongea kikwao unaelewa? Kwa sababu maneno mengi ni kiswahili?Nenda ZANZIBAR.
by the way Kama unafaham Kiswahili vizur basi kiarabu hakitakusumbua sana
Lugha ya kiswahili maneno yake mengi yanatoka kwenye lugha ya kiarabu lakini haina maana kuishi na waarabu ikawa sababu ya kufahamu lugha ya kiaarabu, kujifunza lazima[emoji1] [emoji1787] [emoji23] kwa hiyo ukikaa na waarabu wanaongea kikwao unaelewa? Kwa sababu maneno mengi ni kiswahili?
Yaani hata wakiongea na kusema maneno yao yafanane na kiswahili huwezi kulisikia litakupita tu
Nilikaa na wacomoro siku moja sasa wakawa wanaongea ile lugha unatega sikio unafikiri ni kiswahili kumbe wapi hata neno moja sikuambulia
Ila kiarabu mimi nakijua sana kusoma na kuongea fluently

Jamaa anasema eti kama unafahamu kiswahili basi kiarabu hakitakusumbuaLugha ya kiswahili maneno yake mengi yanatoka kwenye lugha ya kiarabu lakini haina maana kuishi na waarabu ikawa sababu ya kufahamu lugha ya kiaarabu, kujifunza lazima
Mkuu sijasema hakitakusumbua. Rudi kasome nilivyoandikaJamaa anasema eti kama unafahamu kiswahili basi kiarabu hakitakusumbua
Hilo ndio napinga maana ni lugha mbili tofauti kabisa
Kuna maneno ya kiarabu hata kulitamka ni kazi kwa mfano 3ain
Mimi nilikuwa uarabuni na nilijifunza na kuelewa kwa miaka 2 tu nina uwezo wa kushika haraka lugha na sasa naongea lugha 5