Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,697
Reaction score
39,154
Nahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.

Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.

Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi

Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu

Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.

Nawatakiwa siku njema
 
Sio hayo mambo yenu ya dp world mimi nahitaji lugha ya kiarabu kwa mawasiliano tu na exposure zaidi mkuu
Nimeona TAMISEMI weanzisha tahsusi zenye Arabic lang /Islamic rel tafuta hizi shule omba kuonana na walimu wa hayo masomo ,nafikri itakua mwanzo mzuri
 
Back
Top Bottom