ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,739
- 39,287
- Thread starter
- #101
Kweli hii dunia kuna muingiliano mkubwa hupaswi kujifungia kwenye lugha mojaBro kuna watu wamekariri sana.
Kuna siku nilikuwa natafuta fursa za kufundisha mtandaoni oli niweze kutumia utaalamu wengu nje ta mipaka, nikakutana na fursa za warabu nyingi ila kiarabu sijui na kingereza ni kile cha s/m msingi mwembetogwa.
Watanzania ni vilaza sana tena wengine wana master.
Chuoni nilijiunga na kozi ya kichina ya awali, jamaa wakawa wananiuliza cha nini, nilibaki tu kuwashangaa tu.
Noligundua kuwa watanzania wengi ni vilaza sana, eti hawajui kuwa kichina ni fursa.Ajabu sana.
Ukipata muda kujifundisha na kujua lugha kubwa angalau 5 si vibaya
Kiingereza
Kiarabu
Kichina
Spanish
Kijerumumani
Na lugha ni vitu vya kufatilia ukajifundisha tu kwa muda wa ziada tunaopata