Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

Sheikh asijue kiarabu labda mganga huyo..sema wee umemtafuta mtu tu kwa kuwa ni muislamu.....Sheikh mwenye elimu ya dini hakuna asiyejua kiarabu.....acha uongo.
Mashehe wengi hawajui kuzungumza
Niamini mimi
Wanakariri tu kiarabu cha quaran ambapo huwezi kutumia kuwasiliano kibiashara na fursa zingine za lugha ya kiarabu
 
Nenda Ubungo islamic high school ipo Ubungo kibangu, ndano ya shule hilo ni somo linafundishwa. Kuna walimu wengi sana wa kiarabu, utasaidiwa
 
Mashehe wengi hawajui kuzungumza
Niamini mimi
Wanakariri tu kiarabu cha quaran ambapo huwezi kutumia kuwasiliano kibiashara na fursa zingine za lugha ya kiarabu
Umekutana na makanjanja na si Masheikh, wanajua kukisoma, kuongea na hata kukiandika. Hata huko msikitini wakija Masheikh wa uarabuni wao ndiyo wanakuwa wakalimani wao.
 
Hiyo lugha kuwa makini kama wewe ni Muslim achana nayo utapoteza imani yako... mimi nimesoma Qoran kidogo tu nikagundua Allah ana tumia ID mbili ndani ya Qoran Anajifanya Muumbaji bora kabisa yaani The best of Creators and Ndie Shetan pia aruhusu pombe kuwa ni nzuri na ni faida kwa Waislam and anawaambia baadae kuwa Pombe ni kazi ya Shetani and Amekataa kuitwa Mungu its means anamuogopa.. that's good.

Rahisi sana kujifunza Kiarab kwani herufi zake ni chache sana
 
Sio kweli
Unabishana na mimi ambaye nimeishi mazingira ya misikitini kwenye hostel zao toka nasoma, nimekaa pale Masjid Tambaza Upanga hadi hotuba ya ijumaa wanakuja Masheikh wa kiarabu kiswahili hawajui, ila wakalimani wao ni Masheikh haohao. Wakitoa mawaidha wanakalimani ni wao.

Wewe ukubali ukatae umekutana na Makanjanja, nenda misikiti mikubwa. Masheikh wamesoma nje elimu zao za dini
 
Toa uongo wako hapa, kama kitabu umesoma hukielewi nenda kauliza uelezwe kwa wataalamu waliyobobea. Na kama ni shida yako kuibua chuki za kidini, katafute mahali kwingine, hapa inatajwa lugha tu na si mambo mengine
 
Nadhani wewe ulikuwa na mazingira mazuri ya kuzungumza kwa vitendi
Me ngoja nifanye kwa nadharia nisome vitabu na YouTube lakini ugumu huwa nasahau maana sina wa kufanya nae mazoezi
Ni kweli nilikuwa kwao kwa hivyo ilikuwa rahisi sana kwangu

Pambana sana utajua tu sikiliza hata tamthilia zao
 
Unabishana na mimi ambaye nimeishi mazingira ya misikitini kwenye hostel zao toka nasoma, nimekaa pale Masjid Tambaza Upanga hadi hotuba ya ijumaa wanakuja Masheikh wa kiarabu kiswahili hawajui, ila wakalimani wao ni Masheikh haohao. Wakitoa mawaidha wanakalimani ni wao.

Wewe ukubali ukatae umekutana na Makanjanja, nenda misikiti mikubwa. Masheikh wamesoma nje elimu zao za dini
Kwani kuwa shekhe hadi ujue kiarabu?
Kuna mashehe wengi hawajui kiarabu
Wanatafsiri tu baadhi ya maandiko ya quaran
Lakini hawawezi kuwasiliano na native speaker wa Arabic language
 
Nahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.

Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.

Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi

Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu

Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.

Nawatakiwa siku njema
Hamia Uarabuni au visiwa vya karafuu
 
Kujifunza jambo jipya si vibaya?
Hii lugha inazungumzwa na watu wengi duniani kwasasa
Na fursa nyingi ziko uarabuni zaidi ya Europe na America
Bro kuna watu wamekariri sana.
Kuna siku nilikuwa natafuta fursa za kufundisha mtandaoni oli niweze kutumia utaalamu wengu nje ta mipaka, nikakutana na fursa za warabu nyingi ila kiarabu sijui na kingereza ni kile cha s/m msingi mwembetogwa.
Watanzania ni vilaza sana tena wengine wana master.
Chuoni nilijiunga na kozi ya kichina ya awali, jamaa wakawa wananiuliza cha nini, nilibaki tu kuwashangaa tu.
Noligundua kuwa watanzania wengi ni vilaza sana, eti hawajui kuwa kichina ni fursa.Ajabu sana.
 
Back
Top Bottom