Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

Nimesoma shule ya msingi na rafiki angu alikuwa mwarabu nimejifunza toka udogo
Alikiwa ananifundisha Vitu vingi majina na verb zote
Na pia nilikuwa nasoma vitabu vingi vya kiarabu
Madhaa faalta baada stayqadhta ?
(Unafanya nini baada ya kuamka?)

Baada istiqaadh mina naumi mumtii ladhy (Baada ya kuamka kutoka katika usingiz mzito )

Wallaa Joseph Magufuli Saidaa Paul Makonda Fii Dar es salam yaumul ithnayin thanii Ashara fii Rajab
(Alimteuwa Joseph Magufuli kuwa Paulo Makonda Mkuu wa Dar es salam siku ya jumapili mfungo 12 na mwezi wa Rajabu)
Safi kabisa
 
Brother maneno mengi ya Kiswahili Yana asili ya arabic na ipo nadharia inayodai kuwa asili ya lugha ya Kiswahili NI kiarabu.

Hata hivyo nikuulize Sheikh ni nan?
Nakijua kiarabu,ni maneno Tena yametiwa irabu pasipo irabu,Saba,tisa,mia,alfu,samawati nk ni maneno ya kiarabu, huwezi sema hapo unajua kiarabu
 
Kujifunza jambo jipya si vibaya?
Hii lugha inazungumzwa na watu wengi duniani kwasasa
Na fursa nyingi ziko uarabuni zaidi ya Europe na America
Hii ndiyo itakuwa lugha ya peponi baada ya kufa
Ukitaka tunaweza tukaanza hapa hapa.
 
Back
Top Bottom