Kiarabu kama unakijua ni deal. Lugha kadhaa za kigeni ukizijua ni dealUnataka kunifanyia nini hio lugha?
Umenipa jambo kubwa japo naona ugumu upoAnza na kujua irabu zote.ukizimasta matamsh yake ujue na tanwin.kwa maan ya sukun,kasra,dhuma,dhumattein,kisra ya juu ya chin
Simple tu unajua vitendo. Kisha anza kujifunza majina ya vitu, ndio msing wa kujua kitu
Nauliza asili yako siyo utaifa wako.Ngara ni Tanzania
Me ni Mtanzania
Ingia mtandaoni 'learn Arabic online 'Nahitaji sana kujifunza kuzungumza lugha ya kiarabu.
Ni miaka mitatu sasa sijapata mtaalamu wa lugha hii ya kiarabu japo nijue tu namna ya kusalimie, kujieleza na baadhi ya vitu vidogo.
Nimekuwa nikiwaliza mashehe kumbe na wao hawajui hii lugha na wamekariri wamekuwa wakinijibu hawajui chochote zaidi salamu ," asalam aleykum" basi
Mwenye kujua chuo, darasa au mwalimu nitagharamikia kila kitu
Niko nyumbani Ngara nikipata mwalimu wa huku Ngara itakuwa vema zaidi.
Nawatakiwa siku njema
Afuate Sunnah ya yesu siyoAnzaa kuvaa kobaz kwanza
NakaziaAnzaa kuvaa kobaz kwanza
Vyote.unataka kujua kuongea tu ama ujifunze nahwi, swarf, balagha..n.k
kuna lugha ambazo hauwez kujifunza mwenyewe kiarab ni moja wapo.miaka elfuSoma vitabu utajua tu pia video YouTube utajua sio lazima ufunzwe na mtu ana kwa ana dunia imeshahama huko
Itakua lahis kuelewa hio lughaKobazi zinafundisha lugha ya kiarabu?