Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
6,179
Reaction score
14,066
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
 
Hiyo ni pesa yako sio yao.. Jukumu lao wao ni kukupa barua ya kuacha kazi na si vinginenyo
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.
 
Cha kufanya kipo, lkn na hii hela naitaka 😁, kumwachia Mwigulu hizi senti zangu roho inaniuma
 
Back
Top Bottom