Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

Kama ni mfanyabiashara kuliko kuweka Hela kwenye Nssf Bora uweke fixed account au Utt
Ni kukosa maarifa
NSSF ni takwa la kisheria. Kulipia NSSF haikuzuii kuweka fixed deposit au UTT au unafikiri walioweka fixed deposit au UTT hawana NSSF?
 
wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Ulibet mkeka umechanika hujui maana ya NSSF au uliingia kichwa kichwa huko? Hujui hao jamaa ni sawa sawa na kampuni za betting yaan umeweka stake ili mkeka u-tick usikosee hata kipengele kimoja kikilowa damu kipengele hata kimoja tu hupewi hata shilling 1
 
Wewe ndo umeingia kichwa kuchwa kwenye huu uzi, Uzi unaitaji Majawabu, wewe unaleta maswali na nahau.
 
Huyu hapewi hata 100 moja yaan kwa hilo jibu alilopewa hata akienda mahakamani hawampi hata shilling 1

Hahahah,

Kete zitasukumwa tu Mpaka ile kete ya Mwisho kabisa, Shughuri itakua imeisha.
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha

Pesa yako haipo hata bank tayari wamejikopesha na serikali imechukuwa msije kujidanganya kama vile pesa ipo🤦🏾‍♂️ mnafikiri ufisadi wa miradi serikali inaokota pesa?
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
Kuacha kazi Kisha utafute Cha kufanya ni jambo la hatari sana. Usipoangalia Hadi bar made watakukimbia. Hilo Nina uhakika nalo
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
Hakuna shortcut ila tuanze na umri wako,umefanya kazi miaka mingapi,una mpango kuhama nchi au kuendelea TZ?
 
Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.

downloadfile.jpg
downloadfile-5.jpg
downloadfile-4.jpg
 
Back
Top Bottom