Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,778
- 15,104
Bado mdogo wewe 😁,NSSF sio savings account ni pension scheme ya kukulinda uzeeni au ukipata disability sio kukupa pesa ukiacha kazi, option yako ni kuhama nchi permanently au uwe jobless(years), lakini uzuri still ni pesa zako na in 20 years zinaweza kukua to even 30m, usijaribu shortcut za fake documents account yako inaweza kuwa forfeited na ukapewa fraud caseKazi Miaka 2.5, Niko kweny late 20'S Sina mpango wa Kuhama wala kukimbia Nchi.