masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,552
- 20,064
Hatua ya kwanza
Nenda NSSF
tawi la karibu na ulipokua unafanya kazi
Hakikisha una card yako
Utapata mtu aliyekua anawashuhulikia kazini
Kwenu
Ndo utajua taarifa zako na mpunga kama uliwekwa
Maana huwa wanakata ila hawapeleki