Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

Hmm sidhani nina rafkiangu mkataba wake uliisha ila ana miaka mi3 sasa anahangaikia pesa yake na inaongezeka kila mwaka saizi ana 55m ila anasumbuliwa na kuhonga ameshahonga!, sema wanatakaga pesa nyingi mwingine alimuomba mil4
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
Hapa hutoboi.. kama wamejaza magepu ya miezi yote tafuta kazi ya ulinzi au kazi yeyote wanayoweka hela nssf
fanya miezi miwili alafu toroka wakufukuze wenyewe ndo utazipata kirahisi
 
Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.
Kama uzi haukua na hii GIF hapo chini 👇, basi huo sikuweka mimi 🤭 !

200 5.GIF
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
Pole. Nashauri fika ofisi ya NSSF iliyo karibu na wewe
 
Heshima kwenu,

Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.

Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.

Nawasilisha
Barua ya kuachishwa sio ya kuacha mwenyewe....!!
 
Pesa zako ila kuzichukua sasa ni mziki! Haya mamifuko ya pensheni ni kama vitega uchumi vya serikali tuu. 😁
Toka nakua mie? Ikifika mtumishi kuchukua mafao yake waga kuna mvutano sana, nenda rudi, nenda rudi.
Kuna mshua mmoja ilibidi afungue kesi kupata jasho lake... 😁
Wapeni watu hela zao bila mizunguko. Si zao mlikuwa mnawakata!!!!
 
Mwenyewe nilikua najua hivyo
Ila wanaozingua ni waajiri sio mifuko
 
Back
Top Bottom