Jamani bado upo nije, karibu sana babu.
Halafu babu naona uzi huu umekimbiwa selfish person nimejikuta pekee yangu wengine wote watoaji. Mniombee nibadilike kwa kweli.
wala usiache hiyo hali bibie ,,,,,,, mimi mama yangu alikuwa hivyo kabisaa , japo sisi watoto tulikuwa tunakasirika sana na kununa kwani hali hiyo ilikuwa inatuathiri mpaka sisi watoto wake kwa kutupa shida wakati uwezo upo.......... ilienda taratibu tukaanza kumuondoa kwenye hiyo roho ya kusaidi mpaka sasa hivi tunajuutaa kwanini tusingeendelea kumsapoti kwa hiyo tabia yake.
vip mambo ya papu... Nayo ukiombwa huwa unatoa kwa kuhurumia?
Bora wewe charminglady weakness yako ina unafuu, muulize Dinazarde sasa weakness yake, yani sasa ivi hana shoga wote wamemkimbia kwa umbea, kashachambwa sana mtoto wa watu na vigodoro juu lakini wapi, binamu sio wa kumwamini yani ya siri anatoa na ya bayana anaficha
Pole sana, kila mtu ana mapungufu yake
Nitashukuru, ila sijui kama ntafuzu manake nahisi hii tabia nimerithi...
Bi mkubwa ana roho nzuri sanaa, lakini Mzee alikuwa gaidi kupita maelezo...sijui kwa nini sijarithi kwa mzee...
So itakuwa nimerithi kwa bi mkubwa....
hata mimi hali hii inanipa shida. kuna wakati mwingine nasema siwatafuti hata kwenye simu lakini nashindwa kujizuia. Iweje mimi ninawajari washikaji/mashostito lakini wananikumbuka sana wakiwa katika shida!!
siku moja nilikutana na usemi huu ambao hunitia guvu kila wakati " when people remember you only when they are in need, don't bother because you are like a candle that comes in their mind when there is darkness."
Tuendelee tu kutenda mema rafiki @ Charminglady
Hivi ulishapita lile eneo kukiona hicho kibao? Hahahaaaa
200,000 yote hiyo??? Mie mwisho 15,000. Hapa kuna mtu namdai 20,000 mwezi wa tatu sasa namlia timing tu......
La unatakiwa ukikopesha uhesabu umetoa sadaka tu
I guess asili yangu si siri. Lol
Wewe bwana ungenistua ili nikuchune kidogo, ila kwenye guessing yako Kuhusu "mnyamwezi aliyejaliwa" nahisi umekosea. But again it depends na kujaaliwa nini, kama ni ufupi kweli nimejaaliwa. Si eti The Boss.
We kweli bandidu elfu 20 miezi mitatu hujasahau?
sijakuelewa bado, wewe umeshawahi kusamehewa hata deni la airtime ya buku?
Jitahidi walau uweke kaukatili kidooogo tu;
Hata kama haujazaliwa nao lakini jaribu tu kuapply.
Mara zote watu wa hivyo huwa hatufanikiwi sana kimaisha;
Nimejifunza sana kutokana na hilo.
Umenikumbusha namdai mpwa wako Heaven on Earth elfu hamsini....msaidie kulipa
kama mpwa akithibitisha deni hili namlipia on the spot, lakini siamini kama umemaanisha.
wewe ni good friend of my Lara 1 sidhani kama vihela kama hivi ni shida kwako, my Lara 1 anakuheshimu sana kwahiyo na wewe muheshimu mpwa wangu hoe, ukoo umeshakuwa mkubwa.
We kweli bandidu elfu 20 miezi mitatu hujasahau?
Siwezi kusahau aisee...
Maana aliniambie "nikope mara moja kuna mtu hapo nje nataka nimtoe"
Heri angesema hana nitoe ila sio kwa gia ya kukopeshwa