Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Singida. Wanaitwa Mobimba.
Mkundugu yangu wa stendi nenda Iringa wanapatikana kwa wingi.Lakini pia huku kwetu Ruvuma wapo wanaitwa kijangamatongoWana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!
How a comment does engineering stuff 🙄OOOooooooOOOOOOH SHIIIT..... SHOULD I CRY????
Because you are confusing me a lot man (sorry if you are SHE!!!!)
Why you quoted my comment altogether with a comment from another member..!!
Please, next time do not try to combine an Engineering comment with a non-Engineering comment from someone from Non-Engineering related field. Wait... "Not Engineer of none" what exactly did you mean boss??
#Chief Eng
Hata Iringa wapo wanaitwa komanguluala.Wana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!
Nakweli akuje huku wamejaa teleanaitwa gomamli njoo mwanza utamuona