barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Unataka sorokoto?? Nenda tabora wapo wa kumwaga.
Sasa wewe kama sio usumbufu nn!!si uende huko ulkokua unamuona ulivokua mdogoWana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!
Wana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!
Jamani, kasema anafanya utafiti wa wanyama, sio kwa mambo ya wagangaHuyo aliekutuma sio mganga, mganga ni aliemuumba huyo mjusi, mwambie akurudishie pesa yako.