Naweza kupata wapi mjusi mwenye kichwa chekundu?

Naweza kupata wapi mjusi mwenye kichwa chekundu?

Nenda jukwaa la Tiba asilia. Ndege Wa Kutoboa Miti Mikavu na Mijusi wa Rangi Zote wapo uko..
next tym JF watakutoza VAT ya maulizo
 
Wana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!

Matatizo ya kwenda kwa waganga wa kienyeji kama sio zoology course. Nenda kwenye mazingira uliyoyasema. Halafu kwa nini ulikuwa unawinda mijusi - chakula au for fun?
 
Wapo Mwnz mkuu... rangi nyekundu,bluu,kijan...mitaan tuu kwny mawe utawakuta
 
Wanajamvi poleni na harakati,

Naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!

Huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!

Nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama ana akili vile!

Msaada please naweza mpata wapi!!!
Mkuu kumbuka unatafuta nyara za serikali.naona viumbe vya mungu vyenye rangi kichwani vinzidi kusakwa.juzi alitafutwa ndege mwenye kichwa chenye rangi njano kama sio chekundu.Leo ni mjusi.semeni matumizi ya hao viumbe.
 
Mbeya anaitwa komakyaka yanakimbia balaa utalikamataje ?
 
Wanajamvi poleni na harakati,

Naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!

Huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!

Nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama ana akili vile!

Msaada please naweza mpata wapi!!!
Kwanza ni uongo hakwepi kitu. Ni staili yake tu ya kuinua na kushusha kichwa. Pili kama unajua wanapatikana wapi kwa nini usiende huko?
 
Hapa kwetu musoma wengi sana tunawaita bhutuku kuna kawimbo enzi za utoto tuliwaimbia sana

kwa majuu wanasoko sana kwa utalii wa ndani kwenye ma zoo ila hapabongo kamati za ufundi anahusika sana huyu mjusi.

Butungu singisha mutwe nikuyane chisabho cha mata.
 
Wanajamvi poleni na harakati,

Naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!

Huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!

Nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama ana akili vile!

Msaada please naweza mpata wapi!!!

Tabora wapo wa kumwaga tu
 
Nashukuru mkuu nilipata na zoeni nishamliza asnt kwa mwongozo wako
 
Back
Top Bottom