Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Unatoa bei gani?Nenda mororgoro au tanga wapo wengi tu
Unatoa bei gani?Nenda mororgoro au tanga wapo wengi tu
Hapo kwenye bold, sina mbavu ... unamfananisha mkulu na gomamli?Wanapiga push-up mkulu cha mtoto.
Hapana mkuu. Niliwaza tu.Hapo kwenye bold, sina mbavu ... unamfananisha mkulu na gomamli?
Unamtafuta Wa nn?Wana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!
Wamechoka kula kuku too much broilers too much fake wamehamia kwenye vyakula vya kichina.Duh! Cku hiz hawaitaj tena kuku na mbuz? Naona wamehamia kwenye mijus kafiri