kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,508
- 1,642
Kwetu wapo wanaitwa gong'ole. Ni pmWana jamvi poleni na harakati!!naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!!na nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama anaakili vile!msaada pliez naweza mpata wapi!!!