Naweka 'koma' (,) JF Leo...

Njoo basi niufungue huo moyo nijionee mie kilicho ndani..............(((sob sob sob)))

Uko wapi nikufate
niambie nipajue
moyo wangu uuone
na huzuni itulie....!???
 
Mentor,
Safari ya Marangu, Kilema, Kirua Vunjo au wapi?

Mimi simo..sehemu nyingine ukitaja..wenyewe walio huku hawatajisikia vyema!!!

Mentor umekuwa kivutio kweli kwa topic yako, tena unatia huruma, kama vile kweli unaondoka, sema basi uchangiwe hata kalaptop si utakuwa unacharge hata pale kanisani au pale kwenye nyumba ya mwalimu manake naona uendako hata umeme hakuna.

Hahaha...niendako hata nyumba ya diwani haina kibatari..huwezi amini. Na kuna baadhi ya members wako huku from such places.lol


Ohoo..unatafuta bifu na watu! Hwao watu ni wabishi aisee..

Nakutakia kila la heri Mentor.....come back soon!

Thanks you dada yangu..endelea kuniombea.
I love you so much...hujui tu!
 
Kama ilivyo sentesi ndefu, haikosi kuwa na koma.
Nami leo naomba niweke koma kwa utumiaji wangu wa JF.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,
ninasikitika kuwataarifu wote kuwa tangu leo (29th July 2011) jioni
Mimi MENTOR bin MENTOR...sitakuwa nanyi tena hapa Jamvini
kwa muda mrefu kiasi.
Inaniuma sana kwamba jambo hili ni lazima litokee,
ila ninaamini yote ni mema.

Ndugu, marafiki na jamaa tulifahamiana hapa jamvini,
napenda kuwashukuru sana kwa uwepo wenu maishani mwangu.

Nawashukuru kwa maoni, maonyo, mafundisho, vichekesho na maelezo yote mliyonipa kwa muda wote
niliokuwa nanyi hapa.
I consider it a great privilege and an honour to have known you..I don't take it for granted, not for a single while!

Kama wahenga walivyosema, "Vikombe kwenye sinia, havikosi kugongana", nami natambua kuwa pamoja na yote ya furaha
yaliyotokea hapa jukwaani kwa mchango wangu, lazima kuna wale niliowakwaza.
Ninaomba, tena kwa unyenyekevu wote, mnisamehe...
Sitajitetea kwa ubinadamu (though to err is human), ila najua kuna ambayo yangeweza kuepukika..
Mniwie radhi kwani pia, "to forgive is divine!"

Nitawamiss sana wandugu..na labda (just maybe...maana taarifa zisizothibitishwa za kiintelijensia zinasema hilo haliwezekani)
niendapo nitapata ka mwanya ka kuingia hapa..lazima nitawajulia hali.
Ila kama haitatokea hivyo..basi chukieni uzi huu kama kiashiria cha upendo wangu kwenu.

Ningependa kumtaja kila mmoja kwa jina na mchango wake katika maisha yangu..lakini najua sitamaliza na wala sitaweza.
Kwa niaba yenu nimtaje Vivian..my sweet darling..c u jioni!!!
Dada Asha..the big sis av never had.
Basi, kwa hivyo niseme tu..I WILL MISS YOU ALL!
NAWAPENDA SANA NA MUNGU AWABARIKI.


PS: Be the Change You Want to See Around You.


Salaam zao.
 
how many women do you have here? we ondoka tu kwasababu wanawake tutauana huku jamvini

Love..there is only you in my life...YOU AND ONLY YOU!

Huo ni wimbo tu jamani...au acha aje aseme mwenyewe.
She is jus a good friend wangu.
Where did th trust go love?

Mimi..wewe..ntakufa na wewe...
 
Upo pamoja na Mentor??? nawatakia safari njema!
Wasalimu wote,
msisahau kutuletea kitochi mkirudi

Haha..naenda mwenyewe bana...ila niendako kitochi hawana, nitafanya research nijue wana nini huko, nikuletee pia!??

Nkinki mbe!
Mbuta nanga!
Hahah..kuwore mondufo mangi...njihenda kutelesa ko parafu kama iyo!lol
 
I really meant kuandika wote...ila kuna wadau wengi mmenigusa kweli..my stay in JF, if anything, has been but just fun, and educative.
Thanks to you, and you, and everyone else.
Shukrani kaka...mavuno tayari,..wacha tuelekeee Moshi tukavune kwanza na sie!!!

Thanx broda! Mavuno ss hv kaka, kasaidie shamba bana! kuna wa2 wanakata miaka kumi hm bila kwenda milimani lol!
 
Upo pamoja na Mentor??? nawatakia safari njema!
Wasalimu wote,
msisahau kutuletea kitochi mkirudi

Thanx broda! Mavuno ss hv kaka, kasaidie shamba bana! kuna wa2 wanakata miaka kumi hm bila kwenda milimani lol!

U must be joking...au hiyo miaka kumi wakiwa nje ya nchi labda..si unajua nauli nayo!
 
Sasa ile issue ya kula kiti moto leo niaje tena.

Naomba tupange mapema, Tunaenda wapi.

Halafu nilisahau kukwambia ile gari ulinunulia Nimeshindwa kuiweka mafuta.

kama unaweza nitumie kama 60k ya mafuta nije nayo, inabidi nikuachie tu, unipe ile Swift.
 
Dada Asha,
nashukuru for the dedication..I hate to say GOODBYE..
so for you I'l say, "CHEERIO I'LL BE BACK SOON."


Kid bro... your sister appreciates the dedication... and your Shem sends his love

says he is sorry he is not here to say goodbye for he too will not be around for long...
 
Sasa ile issue ya kula kiti moto leo niaje tena.

Naomba tupange mapema, Tunaenda wapi.

Halafu nilisahau kukwambia ile gari ulinunulia Nimeshindwa kuiweka mafuta.

kama unaweza nitumie kama 60k ya mafuta nije nayo, inabidi nikuachie tu, unipe ile Swift.

A.S.A.P...hope umeipata! sitaki upate shida na hata sijaondoka.
Na hiyo elfu kumi ukaoshee gari, ukija wajue kweli kiking'aa ujue kinatunzwa..lol!
Nasikitika tu nitavyokuacha Mjane..

On kitimoto: twende kwenye thread yako ya dadito...
 
Kid bro... your sister appreciates the dedication... and your Shem sends his love

says he is sorry he is not here to say goodbye for he too will not be around for long...

My pleasure sis...
and thanks kwa salamu from shemejis, both of em..hehe..lol!
 
My pleasure sis...
and thanks kwa salamu from shemejis, both of em..hehe..lol!


I am so sorry in puttin you in a position where you always fail to pick

your fav... for you know how your sis can pick em' lol

woote macare kwa the whole family...

(enways usiseme saana, ppl will hear...)
 
Back
Top Bottom