Mkuu usipofushwe na msimamo wako wa kiimani hadi ushindwe kufikiria. Hospitali za tanzania zina milkiwa na makundi matatu
1. Serkali
2. Non profit organizations e.g msikiti, kanisa, NGO
3. Private eg Agakhan, Hindu mandal, buruani, TMJ, THI, etc
Serkali haina hospitali za kutosha kutibu wananchi wake wala kusomesha vijana wake wanaotaka kujiunga na taasisi za utibabu na uuguzi. Ili kuendeleza huduma hizo serkali ilitafuta alternative ambayo ni kutumia facilities za non profit organizations. Miaka ya nyuma serkali ilifanya ubabe ikazitaifisha na kujipachika illegal ownership.
Baada ya serkali kushindwa kuziendesha ilizirudisha kwa wamilki halali zikiwa katika hali mbaya. Kwa hali ya kawaida serkali ilitakiwa kulipa compensation au basi ijitegemee kwenye hii huduma ya afya lakini bahati mbaya serkali haikufanya chochote kati ya hayo na badala yake bado inawategemea walewale iliyowadhulumu.
Sasa serkali inawajibu wa kutoa huduma za afya kwa jamii lakini haina facilities za kutosha, je ni nani anaemtegemea mwenzake hapa? kanisa au serkali?
Mkandara nakushauri uonane na mbunge wako ili utoe malalamiko yako kwa serkali yako na uiulize ina mpango gani wa kujitegemea kwenye huduma za afya badala ya kutogemea facilities za kanisa
Hospitali za kanisa zitaendelea kufanya kazi za kutoa huduma kwa walengwa bila millioni 90 za serkali ya magamba kwa sababu wao ni non profit making organizations, tena serkali ikiacha kupeleka wagonjwa wake huko ndo huduma zitakuwa bora zaidi kwani wahudumiwa watapungua
Serikali kushindwa ilitokea lini na hiyo research ya alternative ilifanywa lini na kupitia vyombo gani maana bungeni haikupita sasa wewe nambie maamuzi haya yalifikiwa vipi na wakati gani maana nakumbuka wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna Hospital kabisa zaidi ya zile za kanisa na bado tulipewa huduma vizuri bila madaktari kugoma...Mkuu usipofushwe na msimamo wako wa kiimani hadi ushindwe kufikiria. Hospitali za tanzania zina milkiwa na makundi matatu
1. Serkali
2. Non profit organizations e.g msikiti, kanisa, NGO
3. Private eg Agakhan, Hindu mandal, buruani, TMJ, THI, etc
Serkali haina hospitali za kutosha kutibu wananchi wake wala kusomesha vijana wake wanaotaka kujiunga na taasisi za utibabu na uuguzi. Ili kuendeleza huduma hizo serkali ilitafuta alternative ambayo ni kutumia facilities za non profit organizations. Miaka ya nyuma serkali ilifanya ubabe ikazitaifisha na kujipachika illegal ownership.
Baada ya serkali kushindwa kuziendesha ilizirudisha kwa wamilki halali zikiwa katika hali mbaya. Kwa hali ya kawaida serkali ilitakiwa kulipa compensation au basi ijitegemee kwenye hii huduma ya afya lakini bahati mbaya serkali haikufanya chochote kati ya hayo na badala yake bado inawategemea walewale iliyowadhulumu.
Sasa serkali inawajibu wa kutoa huduma za afya kwa jamii lakini haina facilities za kutosha, je ni nani anaemtegemea mwenzake hapa? kanisa au serkali?
Mkandara nakushauri uonane na mbunge wako ili utoe malalamiko yako kwa serkali yako na uiulize ina mpango gani wa kujitegemea kwenye huduma za afya badala ya kutogemea facilities za kanisa
Hospitali za kanisa zitaendelea kufanya kazi za kutoa huduma kwa walengwa bila millioni 90 za serkali ya magamba kwa sababu wao ni non profit making organizations, tena serkali ikiacha kupeleka wagonjwa wake huko ndo huduma zitakuwa bora zaidi kwani wahudumiwa watapungua
Kanisa lina lawama kubwa kwakuwa wanapewa 90bil kila mwaka kuboresha hospitali za bugando, KCMC, etc lakini inavyoonekana hawakutumia kuboresha huduma hizi ..wamezifisadi..kama kawaida
Serikali ina lawama kubwa kwakuwa imeshindwa a. kuwafuatilia kanisa wasile hizo fedha za umma, b. kushindwa kubersha hospitali zake..
Utaona kuna tatizo letu ni a. Serikali kwa kushirikiana na kanisa katika kutunyonya na kutunyonga..wananchi wanatakiwa watambue hilo
Hata mimi alinambia hivyo hivyo lakini lile la kwanza ndio unalo na hulikubali ingawa limekuganda kama luba.Kuna mtu aliwahi kuniambia kuna matatizo 10 ambayo yapo kwa binadamu hayakwepeki, lakini la 11 ni la kujitakia, sasa naanza kuamini alichoniambia.
Serikali kushindwa ilitokea lini na hiyo research ya alternative ilifanywa lini na kupitia vyombo gani maana bungeni haikupita sasa wewe nambie maamuzi haya yalifikiwa vipi na wakati gani maana nakumbuka wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna Hospital kabisa zaidi ya zile za kanisa na bado tulipewa huduma vizuri bila madaktari kugoma...
Thubutu, bila 90 bilions hata kujenga wasingejenga mkuu unaweza kuwadanganya watoto wadogo, besides majengo mengi yalijenga wakati na serikali ya kikoloni ambayo ilikuwa inaendeshwa kikristo; hivyo walipata fedha za serikali toka enzi za utawala wakoloni (fedha za umma)
Waliposhindwa kuzi-maintain ndio wakafanya lobbying kuibia serikali, sasa badala hata ya kuboresha huduma wamenogwa na ufisadi hawana tofauti na serikali ..nafikiri wanashirikiana katika kuiba..
Utayasema yote lakini kwa sababu wewe ni kizazi kipya hutaelewa. Zamani enzi za mkoloni, wazazi wetu walikuwa wakitolewa damu na wakoloni walitumia magari haya kwenda vijijini kukusanya damu..Hivyo ukweli upo kwamba Red cross walienda vijijini na kutaka wananchi wajitolee damu na kama ujuavyo mwafrika hatoi damu yake hovyo..Kwa hiyo kulikuwa na ukweli kwamba magari ya Red coss yalikuwa yakutumika zaidi kutafuta damu za watu badala ya kupeleka wagonjwa Hospitalini. nia njema lakini walikuwa mumiani kweli..Iwe akili ya wazee wetu au upendavyo ilitokea hivyo.Ni Tanzania pekee katika hii dunia ndio sehemu ambako watu ni wajinga na bado ujinga wao kwao ukawa ni jambo la fahari mbele za watu wengine. Muwe mnatembea mjionee wenyewe. Maneno ya kuambiwa na mtu ambaye hajasoma, hajui kitu ni sumu. Kama vigezo vya uongozi ktk imani zenu vitabakia kufuga ndevu chafu za hudhurungi, kuvaa makubazi na suruali njiwa bila kuzingatia elimu, basi kamwe hamtabadilika.
Kama una nia ya kufahamu, nenda Teule Hospital pale Muheza, halafu fanya uchunguzi wa kiwango cha huduma, nani anasimamia mapato na matumizi, gharama za matibabu ni kiasi gani na matibabu hutolewa kwa nani, halafu tuone kama ukirudi bado utakuwa unapinga MoU!
Ushauri wangu kwa wanaJF wote: Tuwe makini na ushauri na maagizo tunayopewa na mtu/watu wasio na elimu na ufahamu wa maarifa ya dunia. Wenye umri kidogo mtakubaliana na mimi kuwa zamani gari la Msalaba Mwekundu (RED CROSS) lilistahili kukimbiwa kwa kuwa kutokana na simulizi za wazee wetu ambao hawakuwa na elimu na ufahamu juu ya shughuli za Red Cross, tuliambiwa hao ni WANYONYA DAMU a.k.a MUMIANI. Si ajabu leo kuona kuna watu na akili zao wanaielezea MoU kwa mtindo ule ule tulioelezewa kuhusu Red Cross. Je turudie ujinga wa miaka ya 80?
MoU ni jambo lililofanyika kwa akili na sio kwa hisia. Nitaendelea kusisitiza kuwa, ukiishi buguruni na kutibiwa fungus zako AMANA kamwe huwezi jua umuhimu wa MoU, ukitaka kuujua katibiwe MUHEZA (Teule Hospital), Ndanda Mission, n.k
Watanzania tuwe na utashi wa kutumia akili zetu bila shuruti.
Sasa kama halina shida ya fedha hizi mnachokililia hapa kitu gani.. Kina nani serikali ilisema imeshindwa kuwahudumia? nambieni nani alosema hivyo? hamtaki mnabakia kutunga maneno tu.. Lini serikali ilitangaza kushindwa kuwahudumia wananchi ktk Afya na ELimu kama sio kamba zenu..Nasema hivi ruzuku zifutwe na serikali ichukue jukumu hilo peke yake aiachane na maswala la kanisa yabakie kanisani..Nilitegemea wewe mwenye akili za binadamu utaelewa sawa kabisa na kujiunga nami maana kanisa linajiweza kabisa na hilo nalijua sana..
Hii ndio sababu nasema serikali haina sababu ya kutoa ruzuku ikiwa wananchi tunatozwa gharama kubwa. Acha za kanisa ziwe private tutatia akili, na wengine tunajibanza humo humo ktk hospitali za kata kama zitajengwa. Maana sasa hivi hatujui jukumu ni la nani maana CSSC hupewa fedha na mahesabu yao hatutakiwi kujua wanazitumia vipi..wee tukana weee utachoka tu mimi nakuja na hoja!
Wewe unafikiri Nyerere aliamka asubuhi na kutangaza Azimio la Arusha? Mkuu Idadi ya watu haijengi hoja kwani leo Nyumba zilizojengwa nchini nazo zimejengwa na kanisa au serikali! vipi mkuu wangu mbona wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna sabuni wlaa dawa ya mswaki leo Mengi anatengeneza vitu hivyo na hatumpi ruzuku?. Unataka kujenga hoja kwa sababu ya dhiki zilizopo..Maamuzi ya serikali kunyang'anya hospitali na shule za taasisi za dini yalifanywa na bunge gani? Ukitumia akili kidogo utagundua idadi ya watu wkt wa Nyerere na sasa ni tofauti kwa asilimia kubwa. Na nashukuru kuwa unatambua kuwa Hospitali zilikuwa za kanisa tu, na sio misikiti.
Utayasema yote lakini kwa sababu wewe ni kizazi kipya hutaelewa. Zamani enzi za mkoloni, wazazi wetu walikuwa wakitolewa damu na wakoloni walitumia magari haya kwenda vijijini kukusanya damu..Hivyo ukweli upo kwamba Red cross walienda vijijini na kutaka wananchi wajitolee damu na kama ujuavyo mwafrika hatoi damu yake hovyo..Kwa hiyo kulikuwa na ukweli kwamba magari ya Red coss yalikuwa yakutumika zaidi kutafuta damu za watu badala ya kupeleka wagonjwa Hospitalini. nia njema lakini walikuwa mumiani kweli..Iwe akili ya wazee wetu au upendavyo ilitokea hivyo.
Hili swala la MoU sii la kujitolea na wala hata kama sina elimu halifai hata kwa kulumanga kuona serikali ikiingia ubia na kanisa kuendeleza huduma hizi. Tuna fail kwa sababu na kama tulivyo fail ktk Ujamaa zilikuwepo sababu ambazo wengi hatuzikubali lakini ndio ukweli kwamba serikali ilimiliki nguzo zote za uzalishaji na huduma japokuwa kulikuwepo na Private Hospital na shule. Sisi tunatazama source ya matatizo ya Afya na Elimu nchini leo hii na kama serikali inahusika basi vile vile CSSC inahusika pia... mengineyo jaza mwenyewe.
Sasa wewe mwenye akili timamu.. hao madaktari wa serikali walioko Bugando na KCMC wamegoma kwa sababu zipi? maana tumeambiwa sio swala la posho tu bali na mengineyo (soma hapo juu kichwa cha mada). Haya mengineyo yanahusiana vipi na Hospitali hizi?.Tunacholilia wapi? Hivi hiki ni kilio cha wakristo au cha madaktari? Kama unamaanisha madaktari wa Bugando, KCMC, TEULE n.k basi huo ndio ule uelewa mdogo unaokusumbua. Wale wanaripoti kwa serikali na sio kwa kanisa, usiwe mvivu wa kufikiri. Nenda kule Ubungo Kibangu, kuna Hospitali pale ya kanisa (imejengwa na inamilikiwa na kanisa) nenda ukatazame je madaktari pale wamegoma?
Shida yenu ni elimu tu, nitawakumbusha hili kila mara. Na ndio maana unaongea maneno ya kujikaanga mwenyewe. Kama nia yako ulitaka kuelezea ni jinsi gani kanisa limeshindwa kuwalipa madaktari BUGANDO, KCMC, TEULE n.k mpk wameamua kugoma, jibu ni kuwa wanafanya kazi chini ya serikali na ndio maana wameigomea serikali na hawakuligomea kanisa. Udini unakufanya huoni facts
Wewe unafikiri Nyerere aliamka asubuhi na kutangaza Azimio la Arusha? Mkuu Idadi ya watu haijengi hoja kwani leo Nyumba zilizojengwa nchini nazo zimejengwa na kanisa au serikali! vipi mkuu wangu mbona wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna sabuni wlaa dawa ya mswaki leo Mengi anatengeneza vitu hivyo na hatumpi ruzuku?. Unataka kujenga hoja kwa sababu ya dhiki zilizopo..
Business means business! na serikali haitakiwi kuweka mkono wake. Mimi ni mhafidhina na nazungumzwa kama mhafidhina wala sio swala la Udini kama manvyofikiria. Serikali inafanya matumizi ambayo hayahitajiki kabisa, maana kanisa linaweza kabisa kujitosheleza. Wewe mgonjwa ukienda Hospital iwe ya kanisa au private ndipo serikali inatoa subsidy kwa tiba uloipata sio kutoa fungu la Bil 90 hatujui kanisa wamezitumia vipi. Hii ni nooo nooo! Sasa kama wananchi wengi hawaendei ktk hospital hizo, hizo fedha wanazifanyia nini na tunazi account vipi?..
Mimi nasema sikubaliani na Muafaka wa MoU, wewe tazama kwa jicho lolote lile lakini sio kuniita sina akili wakati wewe mwenyewe unaamini vitu vya ajabu ajabu.. na sitaki kwenda huko... lakini kubali tu kwamba serikali yetu haifungamani na dini yoyote na kutoa ruzuku kwa kuweka muafaka na kanisa ni makosa ya kikatiba. Itolewe ruzuku kwa wagonjwa iwe umekwenda KCMC, Kariuki au Hindu Mandal mgonjwa ndiye awe na chaguo la kutibiwa wapi na hiyo ruzuku yake inamfuata kule alikotibiwa - Kabish!
Hivi kweli wewe umeenda shule? hizo Hospital zilizozitaja ni ktk kutoa mfano wa mwananchi kuwa na uwezo wa kuchagua Hospitali gani aende kutibiwa na ndiko ruzuku iende, sikusema maswala la mjini wala shamba vijijini. Ikiwa serikali imeweza jenga Shule hadi vijijini kila kata ina shule zaidi ya moja kwa nini bado serikali inatoa ruzuku kwa CSSC? Nambie hospital za misheni zilizokuwa vijijini kabla ya muafaka 1992 halafu kama hizi hazikujengwa baada ya muafaka.. kama wao waliweza serikali ilishindwa vipi?.Ndio maana nakwambia wewe ni mjinga. Serikali haina dhamira ya kuchukua hospitali za watu bila sababu za msingi. Kairuki, Aghakan, Hindu Mandal na Ibrahim Haji ni hospitali zilizopo mjini. Lengo la serikali kutoa ruzuku ni kwa maeneo ambayo serikali haijafikisha huduma. Hospitali ulizozitaja zote zipo mjini ambako tayari serikali inao uwezo wa kutoa huduma. Tofauti hapa ni kwamba, kanisa limefika ambapo hao kina hindu mandal hawajafika. Sasa sioni ni ubongo gani unakuongoza kuona kuwa ruzuku ni fasheni. Kule kijijini mgonjwa hana chaguo, ataenda tu kwenye hospitali ya misheni kwani ndio iliopo. Kwa nini unapenda kubisha wkt hujatembea?
Kulaumu nayo ni ibada kwako, ndio maana unajiita mhafidhina bila kuwa na utashi wa kujitegemea. Wewe endelea kupinga MoU, lkn waislamu wanaotibiwa Teule Hospital hawajui unalia nini kwani wao wanatibiwa kwa gharama sawa na amana au mwananyamala. Wewe unayeishi kwa kusikia toka kwa Sheikh Isa ponda na bassaleh endelea kupinga MoU na kudai misikiti ijengwe mashuleni bila kuwa na utashi wa kujenga shule zenu.
Na unaposema 90bn hatujui kanisa wamezitumia vipi ni ujinga ndugu yangu. Mara ngapi nikueleze kuwa fedha zimetolewa kwa hospitali na sio kanisa? Mara ngapi nikueleze kuwa hata mhasibu wa hospitali inayopata ruzuku ya serikali anaajiriwa na kusimamiwa na serikali na sio kanisa? Unaposema hamjui, wewe na nani? Yule anayewajibika kujua za TANROADS zimetumikaje ndio anawajibika kujua na za BUGANDO zimetumikaje. Yule anayewajibika kujua za MEM na MEMKWA zimetumikaje ndio anawajibika kujua za KCMC zimetumikaje. Wewe na huyo mwenzio (unayemwakilisha unaposema 'hatujui') sio kigezo cha kukosekana uhalali wa MoU. Waislamu wenzako wanaotumia hizi hospitali watakushangaa kwa kuwasemea.
Na kwa kuwa unajifanya (ki unafiki) kuwa si udini unakuongoza kusema haya yooote kuhusu MoU, acha basi nikukumbushe kuwa:
1. Zile fedha zilizoaminika kurejeshwa EPA hazijulikani zilipo (bila shaka hizi unajua habari zake jinsi zilivyotumika ndio maana upo kimya)
2. Kesi ya RADA imezua mashitaka kwa waingereza waliotuuzia na wanapata kibano lkn wezi wenzao wa hapa kwetu wanatesa mjengoni (bila shaka unajua jinsi fedha za rada zilivyotumika)
3. Juzi hapa kakamatwa mtumishi wa bodi ya mikopo kwa wizi wa fedha (bila shaka unajua zinavyotumika kwa kuwa unafuatilia kama ilivyo ada ya majukumu yako)
Haya ni machache tu kati ya ambayo umeshayapitia na kuona yako sawa kwa kiyo lazima ulalamike juu ya hizi za KCMC na BUGANDO kwa kuwa wamekunyima taarifa bila kuzingatia kuwa wewe ndio unatakiwa uwe wa kwanza kujua zimetumikaje.
Eeeh Mungu nipe akili, maisha yasiwe mzigo!
Hivyo vitu vya ajabu ajabu unavyovisema juu ya imani yangu wewe viseme tu, mimi sina mashaka juu ya kile ninachoamini. Na kama imani itatakiwa iwe msingi wa maisha yetu, basi jua kuwa mimi ni mwanaume kwa hiyo sina cha kuhofia ktk ahadi za yale tunayotakiwa kuyatarajia tukifika peponi. (mabikira na wine: ni wanawake ndio hatujui wameahidiwa nini)
Ni Tanzania pekee katika hii dunia ndio sehemu ambako watu ni wajinga na bado ujinga wao kwao ukawa ni jambo la fahari mbele za watu wengine. Muwe mnatembea mjionee wenyewe. Maneno ya kuambiwa na mtu ambaye hajasoma, hajui kitu ni sumu. Kama vigezo vya uongozi ktk imani zenu vitabakia kufuga ndevu chafu za hudhurungi, kuvaa makubazi na suruali njiwa bila kuzingatia elimu, basi kamwe hamtabadilika.
Kama una nia ya kufahamu, nenda Teule Hospital pale Muheza, halafu fanya uchunguzi wa kiwango cha huduma, nani anasimamia mapato na matumizi, gharama za matibabu ni kiasi gani na matibabu hutolewa kwa nani, halafu tuone kama ukirudi bado utakuwa unapinga MoU!
Ushauri wangu kwa wanaJF wote: Tuwe makini na ushauri na maagizo tunayopewa na mtu/watu wasio na elimu na ufahamu wa maarifa ya dunia. Wenye umri kidogo mtakubaliana na mimi kuwa zamani gari la Msalaba Mwekundu (RED CROSS) lilistahili kukimbiwa kwa kuwa kutokana na simulizi za wazee wetu ambao hawakuwa na elimu na ufahamu juu ya shughuli za Red Cross, tuliambiwa hao ni WANYONYA DAMU a.k.a MUMIANI. Si ajabu leo kuona kuna watu na akili zao wanaielezea MoU kwa mtindo ule ule tulioelezewa kuhusu Red Cross. Je turudie ujinga wa miaka ya 80?
MoU ni jambo lililofanyika kwa akili na sio kwa hisia. Nitaendelea kusisitiza kuwa, ukiishi buguruni na kutibiwa fungus zako AMANA kamwe huwezi jua umuhimu wa MoU, ukitaka kuujua katibiwe MUHEZA (Teule Hospital), Ndanda Mission, n.k
Watanzania tuwe na utashi wa kutumia akili zetu bila shuruti.
Hao watanzania wa kipato cha chini kama wanateseka, basi na wao waibane serikali, na siyo madokta, naunga mkono hoja.​Napinga migomo ya madaktari lakini naunga mkono kama wangefanya maandamano baada ya kazi kwani mwisho wa siku katika mgomo wao watanzania wa kipato cha chini ndio wanaoteseka na si viongozi wa serikali kwani wao wataenda kutibiwa nje ya nchi na kuacha wanyonge wakifa
kabla ya mgomo watu walikuwa wanapata hudumu kwa kiwango fulani, lakini kama mgomo ukiendelea basi huduma zitasimama kabinsa na vifo vitaongezeka mara dufu, na vifo vyenyewe vitakuwa vya watanzania masikini wasioweza kwenda hospitali za gharama kubwa. uwepo wa hospitali za umma unasaidia kwa kiwango kikubwa kuliko kutokuwepo kabisa