Nawaunga Mkono Madaktari

Siungi mkono kugoma madaktari, huyo pinda na hao viranja wa madaktari kwny huo mgomo zaidi hapo naona ni siasa imetawala.....lakini ukipelekwa mahospitalini tht time mgomo ume'cotton fire' ndio utajua madhara yake.
Unaunga mkono mgomo huu kwa kuwa sasahv uko kwny laptop unabofya, huumwi wala huna ndugu au jamaa wa karibu anayehitaji uwepo wako angalau wa kumfariji tu....
Just imagine mkeo yuko leba anakaribia kujifugua, uchungu umemshika....labda njia ndogo hatoweza kujifungua kwa njia ya kawaida at the same time ana Low Blood Pressure hivyo hata ikilazimu aongezwe njia lakini hawezi kupush option pekee ni Operation,Ndio mtoto wa kwanza huna uwezo kifedha na madaktari ndio wanagoma. Utafanyaje?

Dawa ya jipu ni kulikamua. Bora maumivu makali ya muda mfupi na ukapona kuliko maumivu yanayoanza pole pole huku ukali ukizidi na yakiwa ni ya kudumu.
 
Back
Top Bottom