Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Jamani bado siku chache tutasherekea sikukuu ya pasaka. Napenda kuchukua wasaa huu kuwatakia wote pasaka njema hasa wale watakaobatizwa siku ya pasaka. Tukumbuke kujiandaa vema na kuwa waangalifu sana kipindi hiki cha sikukuu. Si unajua vibaka nao hawachezi mbali chondechonde tuwe waangalifu. Namuomba mungu familia zote zisherekee sikukuu kwa amani na upendo. Pia Kwa wale wasiosherekea pasaka kwa sababu mbalimbali nawatakia mapumziko mema .