Nawatakia Christmas njema Watanzania wenzangu

Nawatakia Christmas njema Watanzania wenzangu

Pia nawe mtanzania mwenzangu,ila tuliombee taifa letu dua njema.Naipenda Tanzania kuliko taifa lingine dunia,maana ndio baba yangu na mama yangu.mungu ibariki Tanzania tuishi na upendo na amani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom