Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,014
Sio kwamba hawahitaji! Hakuna vitu essential kwamba ati wasipovipata Tanzania watakufa. Soma vizuri na uelewa maana. Acha kupayuka kwa Jumla jumla na Ds yako ya first yearNaweza kusema kwa uhakika kabisa BILA KUJING'ATA ULIMI kuwa this can be the shallowest bandiko humu JF kwa 2020! Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu haingii akilini mtu kusema kuwa hizo nchi tajwa hazina shida na uchumi wa TZ! Kweli? Hata wao wakisoma hili bandiko watakushangaa. Wanahitaji malighafi karibu zote kutoka nchi zetu, ikiwemo TZ.
Wanahitaji madini yote, wanahitaji pamba yote, wanahitaji chochote atakachofikiria mtu makini humu JF. Nadhani mara ya mwisho ulipokwenda Ulaya au US au UK hukutembea na kuona how dependent they are on our raw materials and ALL CHEAP GOODS from our countries including TZ. Kama hawahitaji kitu, sasa wanahitaji nini - UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU - for what kama siyo kutengeneza njia rahisi za kuiba malighafi zetu!?