Nawashangaa Viongozi wa CCM kila linapotajwa kosa au tuhuma na nchi washirika wa maendeleo mnakimbilia kusema vita ya kiuchumi. Jibuni hoja kwa hoja

Hapana, thread ina hoja nzito za msingi. Be fair. Viongozi wa Tanzania wana visingizio sana, hawataki waulizwe kitu na wanaishia kupotosha watu na propaganda, ooh vita ya uchumi, ooh mabeberu hawatutakii mema.

Mtu anakupa fedha za msaada kusaidia uchumi wako hadi unamwita mfadhiri au partner wa maendeleo halafu unamtuhumu kutaka kuhujumu uchumi wako kila anapokuuliza kitu ambacho anaona hakiendi vizuri?

Kama Tanzania inaona hizi nchi hawapo kwa nia nzuri na sisi basi ondoeni taasisi zao zote - jiondoeni UN, funga ofisi za UNDP, CIDA, EU Commission, GIZ, NORAD, WB, balozi zao, waambieni wandoke wanatuharibia uchumi wetu.
Kwa ajiri zako unaona pesa za morons hazikufanya kazi yoyote? Je kiroba unaisikia Tanzania?
 
Naweza kusema kwa uhakika kabisa BILA KUJING'ATA ULIMI kuwa this can be the shallowest bandiko humu JF kwa 2020! Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu haingii akilini mtu kusema kuwa hizo nchi tajwa hazina shida na uchumi wa TZ! Kweli? Hata wao wakisoma hili bandiko watakushangaa. Wanahitaji malighafi karibu zote kutoka nchi zetu, ikiwemo TZ.

Wanahitaji madini yote, wanahitaji pamba yote, wanahitaji chochote atakachofikiria mtu makini humu JF. Nadhani mara ya mwisho ulipokwenda Ulaya au US au UK hukutembea na kuona how dependent they are on our raw materials and ALL CHEAP GOODS from our countries including TZ. Kama hawahitaji kitu, sasa wanahitaji nini - UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU - for what kama siyo kutengeneza njia rahisi za kuiba malighafi zetu!?
Kabla ya kujibu huu upoloto uliojibu hapa ugefanya tafiti kidogo kujua viwango vya Imports na Exports vya Tanzania kwa nchi hizo na nchi nyingine pia za Africa hapo ungejua jee sisi nimuhimu sana kwao kiasi cha kuingia eti vita vya uchumi nao?
Unaelewa kuwa Budget support yao kwetu na misaada mingine inazidi exports zetu?
Waambieni hao viongozi wenu waache tabia ya uongo uongo
 
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli.

Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika.
Je, ni kweli mliwakatalia WHO kutoa takwim na hali ya corona nchini.

Hizi ndio hoja inabidi zijibiwe kwanza kisha ndio tuangalie mambo mengine.

Hii nchi ikikosa msaada sio sabab eti vyama pinzani vimeshinikiza, wazungu sio wajinga kiasi hicho mpka wasikilize kila wanacho ambiwa kama hakina ukweli.

Jibu hoja sio kukimbilia kusema sentensi za jumla jumla ooh sijui hii ni vita ya kiuchumi, sijui mabeberu

Na kama nchi hii itapitia kipindi kigumu kimataifa basi sabab ni nyinyi CCM.

Nyinyi ndio mnawakilisha wananchi kwenye uongozi, tukifeli ni sabab nyinyi mmetufelisha.
Hapo ccm umewaonea sijawahi kuwatetea, ukweli tatizo hapo tunajua ni mtu sio chama.
 
Naweza kusema kwa uhakika kabisa BILA KUJING'ATA ULIMI kuwa this can be the shallowest bandiko humu JF kwa 2020! Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu haingii akilini mtu kusema kuwa hizo nchi tajwa hazina shida na uchumi wa TZ! Kweli? Hata wao wakisoma hili bandiko watakushangaa. Wanahitaji malighafi karibu zote kutoka nchi zetu, ikiwemo TZ.

Wanahitaji madini yote, wanahitaji pamba yote, wanahitaji chochote atakachofikiria mtu makini humu JF. Nadhani mara ya mwisho ulipokwenda Ulaya au US au UK hukutembea na kuona how dependent they are on our raw materials and ALL CHEAP GOODS from our countries including TZ. Kama hawahitaji kitu, sasa wanahitaji nini - UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU - for what kama siyo kutengeneza njia rahisi za kuiba malighafi zetu!?
Tufanye unachosema ni kweli, hebu haya.
1. Kwanini mlipokea pesa ya corona wakati tanzania hakukuwa na corona,je hii ni vita ya kiuchumi?

2. Nchi za wazungu wanategemea malighafi kutoka tanzania tu?
 
Naweza kusema kwa uhakika kabisa BILA KUJING'ATA ULIMI kuwa this can be the shallowest bandiko humu JF kwa 2020! Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu haingii akilini mtu kusema kuwa hizo nchi tajwa hazina shida na uchumi wa TZ! Kweli? Hata wao wakisoma hili bandiko watakushangaa. Wanahitaji malighafi karibu zote kutoka nchi zetu, ikiwemo TZ.

Wanahitaji madini yote, wanahitaji pamba yote, wanahitaji chochote atakachofikiria mtu makini humu JF. Nadhani mara ya mwisho ulipokwenda Ulaya au US au UK hukutembea na kuona how dependent they are on our raw materials and ALL CHEAP GOODS from our countries including TZ. Kama hawahitaji kitu, sasa wanahitaji nini - UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU - for what kama siyo kutengeneza njia rahisi za kuiba malighafi zetu!?
Usilazimishe nchi zimgine,zungumzia umuhimu wetu kwao.
Botswana.Southafrika, Zambia,Malawi,Namibia, Angola kwa uchache hawana dhida na chaguzi .
Na utawala Bora ni jambo jema
Tatizo ni Nini Kama wananchi hawamtaki diwani au mbunge huyu wakachagua mwingine.kwanini atangazwe alieshindwa?kwa mtutu wa bunduki dhidi ya raia ambaye hana hata fimbo .unalazimisha watu kusaidia mnyonge
 
Hawana jibu mkuu
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli.

Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika.
Je, ni kweli mliwakatalia WHO kutoa takwim na hali ya corona nchini.

Hizi ndio hoja inabidi zijibiwe kwanza kisha ndio tuangalie mambo mengine.

Hii nchi ikikosa msaada sio sabab eti vyama pinzani vimeshinikiza, wazungu sio wajinga kiasi hicho mpka wasikilize kila wanacho ambiwa kama hakina ukweli.

Jibu hoja sio kukimbilia kusema sentensi za jumla jumla ooh sijui hii ni vita ya kiuchumi, sijui mabeberu

Na kama nchi hii itapitia kipindi kigumu kimataifa basi sabab ni nyinyi CCM.

Nyinyi ndio mnawakilisha wananchi kwenye uongozi, tukifeli ni sabab nyinyi mmetufelisha.
 
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli.

Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika.
Je, ni kweli mliwakatalia WHO kutoa takwim na hali ya corona nchini.

Hizi ndio hoja inabidi zijibiwe kwanza kisha ndio tuangalie mambo mengine.

Hii nchi ikikosa msaada sio sabab eti vyama pinzani vimeshinikiza, wazungu sio wajinga kiasi hicho mpka wasikilize kila wanacho ambiwa kama hakina ukweli.

Jibu hoja sio kukimbilia kusema sentensi za jumla jumla ooh sijui hii ni vita ya kiuchumi, sijui mabeberu

Na kama nchi hii itapitia kipindi kigumu kimataifa basi sabab ni nyinyi CCM.

Nyinyi ndio mnawakilisha wananchi kwenye uongozi, tukifeli ni sabab nyinyi mmetufelisha.
Viongozi wenye akili ccm walishakufa
 
Ile ilikuwa ni kamati ya bunge la EU inayodeal na nchi za Atrika, kwa hiyo ni sehemu ndogo mno ya bunge la EU lenye wabumge takribani 700, kamati hiyo ina wajumbe 70 unaweza kuona wajumbe waliochangia Jana hawafiki hata 10 na yale yalikuwa ni mawazo ya wajumbe hao ambao pia hawakufikia consesus. Kwa hiyo maamuzi ya kusitishwa misaada kwa Tanzania hayawezi kufanywa na kamati peke yake tena yenye uwakilishi mdogo kiasi hicho.
Acha ukasuku
 
Taja hizo malighafi wanazozitegemea sana kutoka Tanzania.Hatuna uzalishaji wowote mkubwa kiasi chakutufanya tuwe hatarishi kwao.Hizi porojo zilitakiwa kutolewa miaka ya nyerere sio sasa.Hao watu wangekua tegemezi kwa kila kitu afrika usidhani wangetuacha tukae kienyeji hivi.Kilichopo ni sisi kuangaika kuuza rasilimali zetu kwao ili zitunufaishe nasio vinginevyo.Hayo makampuni yanayokuja uku kufanya lobbyng kuhusu rasilimali zetu zisikupe jeuri ukajiona una cha muhimu sana.
Naweza kusema kwa uhakika kabisa BILA KUJING'ATA ULIMI kuwa this can be the shallowest bandiko humu JF kwa 2020! Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu haingii akilini mtu kusema kuwa hizo nchi tajwa hazina shida na uchumi wa TZ! Kweli? Hata wao wakisoma hili bandiko watakushangaa. Wanahitaji malighafi karibu zote kutoka nchi zetu, ikiwemo TZ.

Wanahitaji madini yote, wanahitaji pamba yote, wanahitaji chochote atakachofikiria mtu makini humu JF. Nadhani mara ya mwisho ulipokwenda Ulaya au US au UK hukutembea na kuona how dependent they are on our raw materials and ALL CHEAP GOODS from our countries including TZ. Kama hawahitaji kitu, sasa wanahitaji nini - UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU - for what kama siyo kutengeneza njia rahisi za kuiba malighafi zetu!?
 
We zwazwa kweli kweli, ina maana izo raw materials zinapatikana Tanzania pekee?? Assume zisingekuwepo TZ wasingekuwa na pa kuzipata??
We zwazwa pia fara sana
Naweza kusema kwa uhakika kabisa BILA KUJING'ATA ULIMI kuwa this can be the shallowest bandiko humu JF kwa 2020! Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu haingii akilini mtu kusema kuwa hizo nchi tajwa hazina shida na uchumi wa TZ! Kweli? Hata wao wakisoma hili bandiko watakushangaa. Wanahitaji malighafi karibu zote kutoka nchi zetu, ikiwemo TZ.

Wanahitaji madini yote, wanahitaji pamba yote, wanahitaji chochote atakachofikiria mtu makini humu JF. Nadhani mara ya mwisho ulipokwenda Ulaya au US au UK hukutembea na kuona how dependent they are on our raw materials and ALL CHEAP GOODS from our countries including TZ. Kama hawahitaji kitu, sasa wanahitaji nini - UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU - for what kama siyo kutengeneza njia rahisi za kuiba malighafi zetu!?
 
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli.

Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika.
Je, ni kweli mliwakatalia WHO kutoa takwim na hali ya corona nchini.

Hizi ndio hoja inabidi zijibiwe kwanza kisha ndio tuangalie mambo mengine.

Hii nchi ikikosa msaada sio sabab eti vyama pinzani vimeshinikiza, wazungu sio wajinga kiasi hicho mpka wasikilize kila wanacho ambiwa kama hakina ukweli.

Jibu hoja sio kukimbilia kusema sentensi za jumla jumla ooh sijui hii ni vita ya kiuchumi, sijui mabeberu

Na kama nchi hii itapitia kipindi kigumu kimataifa basi sabab ni nyinyi CCM.

Nyinyi ndio mnawakilisha wananchi kwenye uongozi, tukifeli ni sabab nyinyi mmetufelisha.
Sijawahi kuona watu wagumu kuelewa kama wewe jamaa. Serikali inapotumia maneno "Vita vya Kiuchumi," hayo ni maneno-msimbo (coded-words). Ni namna ya kuitahadharisha US na washirika wake wa Umoja wa Ulaya wasithubutu kamwe kuisakama Tanzania kama walivyomfanyia Saddam Hussein wa Yugoslavia na Muhamar Gaddafi wa Namibia. Tanzania haitafumbia macho vitisho vyovyote kutoka kwa mtu, watu, kikundi cha watu, nchi, mashirika ama jumuia za kimataifa, viwe vya maneno, vitendo au namna nyingine yoyote. Tanzania iko tayari kujibu mapigo "of its kind & accordingly & promptly!" Lakini tunawahakikishia marafiki, wadau wema na wawekezaji wa nchi yetu kwamba Tanzania ni salama kabisa, na kamwe haitokaa ipoteze sifa yake ya kuwa kisiwa pekee cha amani duniani. Kama walivyosema watu. Wa Iran, "We are a very patient people."
 
We zwazwa kweli kweli, ina maana izo raw materials zinapatikana Tanzania pekee?? Assume zisingekuwepo TZ wasingekuwa na pa kuzipata??
We zwazwa pia fara sana
We vipi lete hoja mbona unaleta matusi au unataka na sisi tukutukane wewe na hao wanaokudanganya kuwa sisi tunawahitaji wao zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi! Waza kwa akili siyo kwa a**!
 
Hakuna mtu aliyesema hatu export kitu kwenda Ulaya. Ninachosema ni kuwa tunacho export kinaweza kupatikana kirahisi tu kutoka nchi nyingine. Kwa mfano, tuna export maua kwenda Ulaya lakini wana option ya kununua kutoka Kenya au Ethiopia kama hawataweza kuyapata kutoka kwetu. Tuna wapelekea kahawa lakini Kenya, Uganda na Ethiopia nao wana uwezo tosha wa kuziba pengo litakalotokea kama wataacha kununua kahawa yao.

Amandla...
That is the issue, kama wanaweza kupata kwingine, basi watuache tufanye biashara na wengine ambao kwa standard zao kila kitu kiko sawa. Lakini wanakuja na hoja zao za "haki za binadamu na usawa wa binadamu" kwa viwango na vigezo vyao ambavyo kwao havitumiki ila wanataka vitumike kwetu tu. Tukivikataa, basi nongwa, eti tutawekewa vikwazo vya kiuchumi! Mnadhani ni rahisi namna hiyo? Nchi ngapi zimewekewa hivyo vikwazo au ni mikwara tu ya kutaka tuyumbe, watutoe kwenye RELI wapore utajiri wetu kwa faida yao. Hatuyumbi wala hatutolewi kwenye RELI we are an independent sovereign state na wenye kujua haki na wajibu wetu kwa watu wetu na kwa marafiki zetu wenye adabu na heshima na wanaotutakia mema. Kinyume cha hapo tutapamabana nao tu! Ingawa kwa watu wenye kasumba ya kikoloni, hili ni ajabu kwao/kwenu.
 
Kwahiyo una shabikia uminywaji wa haki za binadamu na ukosefu wa utawala bora wa haki..?

#

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Suala la "haki za binadamu au utawala bora" ni very subjective issues. Je, afanyayo Rais Trump kwa kugomea ushindi wa mgombea mwenzake ni "utawala bora" au 'ukosefu wa utawala bora"!? Haki za binadamu zipi, za watu kutaka kuandama bila ukomo na wakiwa na mipango OVU, baada ya kushindwa kwenye BALLOT BOX? Au ni "uminywaji wa haki za binadamu" baada ya BOB na mashabiki wake kuropoka hivyo au nini? Hizo ndiyo "haki za binadamu"? Na nani atawalinda waathirika wa hizo vurugu chini ya mwavuli huo OVU?
 
Back
Top Bottom