Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi

Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza

1. Je, Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

3. Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

5.Wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.

6. Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?

Karibuni kwa michango
Kimsingi kama sio wote basi karibu kila mwanamke anajiuza, wengine hujiuza hadharani wengine hujiuza kisirisiri na wengine hujiuza kistaarabu. Niongelee hawa wa mwisho sababu ndo wengi.
Mwanamke yyt anayedai kuhudumiwa ama huduma kwa sababu tu wewe ni mpenzi wake huyo anajiuza kwako maana hata mnayeelewana ukimpa hela inaenda kumhudumia yeye.
Ukiona unadahi huduma kwa mwnaumebasi wewe na wale wa barabarani hamna tofauti
 
Hao dhiki na njaa zao ndio maana wanaigana yaani kafika mjini hana pa kuanzia anakaribishwa na kahaba limoja linamfundisha kazi kwa kumuuza

Wengi wao wachafu sana na wanasambaza magonjwa tu sio wa kuwapa mda wako mkuu
Changudoa wa bongo ni njaa Kali na dhiki kama usemavyo na tama ya vitu vidogo vidogo
 
Kimsingi kama sio wote basi karibu kila mwanamke anajiuza, wengine hujiuza hadharani wengine hujiuza kisirisiri na wengine hujiuza kistaarabu. Niongelee hawa wa mwisho sababu ndo wengi.
Mwanamke yyt anayedai kuhudumiwa ama huduma kwa sababu tu wewe ni mpenzi wake huyo anajiuza kwako maana hata mnayeelewana ukimpa hela inaenda kumhudumia yeye.
Ukiona unadahi huduma kwa mwnaumebasi wewe na wale wa barabarani hamna tofauti
Kabisa hapo kuna mstari mwembamba Sana unaotengasha wanaojiuza wazi wazi barabarani na wale wanaojiuza kwa Siri
 
Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi

Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza

1. Je, Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

3. Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

5.Wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.

6. Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?

Karibuni kwa michango
Haya mambo hayana kanuni, taratibu wala sheria.... Wakati unaandika hivi utakuta na mkeo anawauzia watu wa mtaani mbususu, na kuna watu wanamwita malaya kama wewe unavyowaita wanawake wengine.
 
Kimsingi kama sio wote basi karibu kila mwanamke anajiuza, wengine hujiuza hadharani wengine hujiuza kisirisiri na wengine hujiuza kistaarabu. Niongelee hawa wa mwisho sababu ndo wengi.
Mwanamke yyt anayedai kuhudumiwa ama huduma kwa sababu tu wewe ni mpenzi wake huyo anajiuza kwako maana hata mnayeelewana ukimpa hela inaenda kumhudumia yeye.
Ukiona unadahi huduma kwa mwnaumebasi wewe na wale wa barabarani hamna tofauti
 
Haya mambo hayana kanuni, taratibu wala sheria.... Wakati unaandika hivi utakuta na mkeo anawauzia watu wa mtaani mbususu, na kuna watu wanamwita malaya kama wewe unavyowaita wanawake wengine.
Ndivyo ilivyo mkuu hata Mimi wangu anajiuza
 
Back
Top Bottom