Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi

Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza


1. Je,Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
3.Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

5.wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.

6.Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?

Karibuni kwa michango
Ungeweka na machimbo yao ili tuwafate tuwaulze kwann wanajiuza
 
Mimi kuna siku nilijaribu kwenda chimbo fulani kununua malaya,huezi amini mkuu jogoo hakusimama jambo ambalo si kawaida kwangu,nikaanza kuumwa tumbo nikaingia chooni,niliharisha Sana na kutapika. Niliporudi chumbani kwa Yule Malaya nilimkuta amevua nguo yupo uchi wa mnyama,akajaribu kunichezea ili nimtafune lakini wapi,nikatoa 10000 nikampa nikaenda zangu.
Mimi nilinunua mara 2 lkn kilichonikuta baada ya hapo ni pressure kupanda ingali mi bado mdogo asee nilipiga maombi Kama kichaaa looo baada ya wiki 6 ndo ikashuka lkn nilipata funzo Wana maroho ya ajabu asee achana na magonjwa 🤺
 
Mimi nilinunua mara 2 lkn kilichonikuta baada ya hapo ni pressure kupanda ingali mi bado mdogo asee nilipiga maombi Kama kichaaa looo baada ya wiki 6 ndo ikashuka lkn nilipata funzo Wana maroho ya ajabu asee achana na magonjwa 🤺
Mtu ambaye kwa dhati kabisa haogopi ukimwi huyo mkimbie ana roho ya simba
 
Wanaojiuza vipi jumla( Walioolewa) au rejareja( wa njiani) ?, hii kitu inategemea na unaiangalia ukiwa umekaaje….
Anyway wapo tangu enzi za vizazi vilivyoanzisha ustaarab tunaouishi sasa hivi.
 
Back
Top Bottom