Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,607
1)Mwanamke aliyeolewa anafanya mapenzi na mumewe. Mumewe anampatia mahitaji ya msingi na kumtunza.
2)malaya anafanya mapenzi na Wanaume tofauti tofauti ili apate fedha za kujihudumia.
Kwa hiyo wote wanafanya mapenzi ili wahudumiwe sema tu huyo wa kwanza ana mkataba wakati huyu mwingine ni ndondo.