SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Kabisa sipingiNi mashetani tunayoishi nayo
Kabisa sipingiNi mashetani tunayoishi nayo
Mbona unamruhusu sasa 😑😠Ndivyo ilivyo mkuu hata Mimi wangu anajiuza
Siyo kwamba namruhusu mkuu.Mbona unamruhusu sasa![]()

How illegal na wakati ni mwili wake. Ukisema kiimani na maadili. Then hata sigara pombe kali zisiuzwe kabisa...maana zote haramu na Zina madharaNever on earth ni sawasawa useme unataka Kodi ya biashara za madawa ya kulevya au bangi hii ni illegal business mkuu huwezi daka mtandao wote huuu
Saivi nimekuelewa 😒Siyo kwamba namruhusu mkuu.
Mwanamke ni kiumbe cha hovyo Sana asipojiuza jumla atajiuza rejareja.
Mfano wangu akija geto Leo akakupa tuta kwenye penalty box basi kesho jiandae kupigwa mzinga
Hiyo ni nini kama siyo ananiuzia?
Sema hii ni biashara ya Mali kauli![]()
Good question, mjibuni huyu, honestly wanaume wa JFHumu kila mtu anashangaa na kuilaani hiyo biashara. Sasa hao wananunuliwa na kina nani?
Kwani wanawake wanaojiuza ni wakina nani wanaotoa PESA kama siyo wanaume. Kusingekuwepo na wanaume wenye tamaa wasingekuwepo hawa wanawake KWA sababu kungekuwa hakuna wa kuwanunua. Mwanaume ni mdhaifu KWA hivyo vitu na mwanamke ni kiumbe kinachopenda raha, kutunzwaMajority ni wale wavivu tangu utotoni mwao. 99% ni uvivu wa kufanya kazi.
Mkuu washangae wanaonunua sio wanaojiuza. Wanunuzi ni watu wapumbavu zaidi kuliko wauzaji.Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi
Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza
1. Je, Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
3. Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
5.Wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.
6. Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?
Karibuni kwa michango
🤣🤣🤣Mkuu washangae wanaonunua sio wanaojiuza. Wanunuzi ni watu wapumbavu zaidi kuliko wauzaji.
Hawa mbwa wanaonunua malaya Wana mapungufu vichwani mwao nikiwemo mimi.
Unaweza kununua na kushangaa baada ya pepo kukutokaHumu kila mtu anashangaa na kuilaani hiyo biashara. Sasa hao wananunuliwa na kina nani?

Sigara na pombe ni biashara halali labda sijui unazungumzia Sigara na pombe zipi pia Kuwa miili ni yao hakufanyi iwe legalHow illegal na wakati ni mwili wake. Ukisema kiimani na maadili. Then hata sigara pombe kali zisiuzwe kabisa...maana zote haramu na Zina madhara
Tuishi humo KakaSaivi nimekuelewa![]()

Biashara yoyote yenye wateja lazima ishamiri. Siku wateja wakikosekana, biashara hufa yenyewe kifo cha asili. Kwa kuwa wanaume wa kuwanunua wapo na wataendelea kuwepo, usitarajie kuna siku biashara hii itakufa.Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi
Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza
1. Je, Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
3. Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
5.Wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.
6. Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?
Karibuni kwa michango
Wewe ni wazi unafanya hii biashara ya kujiuzaKwani wanawake wanaojiuza ni wakina nani wanaotoa PESA kama siyo wanaume. Kusingekuwepo na wanaume wenye tamaa wasingekuwepo hawa wanawake KWA sababu kungekuwa hakuna wa kuwanunua. Mwanaume ni mdhaifu KWA hivyo vitu na mwanamke ni kiumbe kinachopenda raha, kutunzwa