Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,307
- 2,000
- Thread starter
- #141
Mkuu washangae wanaonunua sio wanaojiuza. Wanunuzi ni watu wapumbavu zaidi kuliko wauzaji.
Hawa mbwa wanaonunua malaya Wana mapungufu vichwani mwao nikiwemo mimi.





Mkuu washangae wanaonunua sio wanaojiuza. Wanunuzi ni watu wapumbavu zaidi kuliko wauzaji.
Hawa mbwa wanaonunua malaya Wana mapungufu vichwani mwao nikiwemo mimi.





Hakuna namna nyingine ya kupata pesa?Wanapata utamu na pesa...
Wenyewe bahati zao wanafikishwa mbali...
Heri wewe nimekupenda kuliko wanawake wote
Nimecheka🤣Unaweza kununua na kushangaa baada ya pepo kukutoka![]()
Umesema unawashangaa wanaojiuza nimekuuliza wakina nani huwa wananunua? Ndo utajua tatizo lipo wapiWewe ni wazi unafanya hii biashara ya kujiuza
Kama umeamua kunitusi sawaWewe ni wazi unafanya hii biashara ya kujiuza
Kwanini hivyo viwili viwe legal wakati vina madhara kuliko BANGISigara na pombe ni biashara halali labda sijui unazungumzia Sigara na pombe zipi pia Kuwa miili ni yao hakufanyi iwe legal
Ndiyo uwezo wao wa kutafuta pesa ulipofikia...Hakuna namna nyingine ya kupata pesa?
Mtu auze mbunye yake halafu akulipe kodi wewe ili ukanunulie LC 200. Zipo sawa sawa kweli wewe?Basi itambulike rasmi maana tunakosa Sana mapato huko
Wengi wanaonunua Machangudoa ni wanaume waliooa Usisahau!Sijakataa kuwa ni bidhaa muhimu ila tafuta mmoja utulie nae, kununua sio tija. Mkiacha kununua na umalaya unapungua.
Umemkosea Queen virgo kwa hii comment maana ameitoa kutoka upande wa akinamama wakati wewe mawazo yako ni ya wavulana. Ungekuwa umeoa ungemwelewa maana kuna tofauti kubwa kati ya Mwanaume na mwanamke katika suala hili. Kuna jamaa alisema kibuyu huyo ana mawazo ya kiutu uzimaWewe ni wazi unafanya hii biashara ya kujiuza
AiseeBiashara ya muda mrefu since in the bible mkuu 🤣🥶 haiwezi kuisha mpaka yesu atakaporudi hata kwenye ufunuo imo 👻👿
Duh..Wengi wanaonunua Machangudoa ni wanaume waliooa Usisahau!
Kabla mtu hajaoa hajui umuhimu na thamani ya hao akinamama! Kwenye ndoa kuna vikwazo vingi vya kupata Njia sahihi za kumimina vilivyojaa katika kibuyu. Kabla ya kuzoea kuvitoa katika k ya mtu, ni rahisi kuota vikatoka au kupiga punyeto vikatoka! Lakini ukizoea kuvitolea katika mwili wa binadamu, huwezi kurejea tena katika hizo njia. Hapo kama una mapenzi ya dhati na mkeo, machangudoa ndiyo mwokozi wako. Kuchepuka kuna gharama sanaDuh..