Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,227
- 10,187
Humu ndani kuna Mafala wengi sanaπππππππππππ
Hivi huyu atakua mlokole.
daaah!!!!
Hivi huyu atakua mlokole.
daaah!!!!
Ahahahahahahahahajah!!!!Mawazo yako hay! kinacho jadiliwa hapa ni salamu ambazo zinauelekeo wa kimadhehebu.
Subiri maandamano makubwa nchi nzima hiyo tarehe 1 Julai ndipo utajua hujui na Bi Mkubwa wakoKizuri ni kwamba huku unalalamika hakuna rais lakin umo ndani ya mamlaka yake kama wewe jeur jitokeze hadhari sema hakuna rais , kinacho wasumbua ni ukabila tu mliaminishwa kwamba sasa nchi hii imekuwa ya wasukuma na mkaanza kujipanga kutawala milele sasa mlicho kutana nacho ndo hicho kinawafanya hadi sasa hamuamini kwamba jiwe kweli kweli kesha kuwa unga kweli kweli.
Hapa unatania au unatoa mipasho?Kizuri ni kwamba huku unalalamika hakuna rais lakin umo ndani ya mamlaka yake kama wewe jeur jitokeze hadhari sema hakuna rais , kinacho wasumbua ni ukabila tu mliaminishwa kwamba sasa nchi hii imekuwa ya wasukuma na mkaanza kujipanga kutawala milele sasa mlicho kutana nacho ndo hicho kinawafanya hadi sasa hamuamini kwamba jiwe kweli kweli kesha kuwa unga kweli kweli.
Usiwe unapinga kila kitu.Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sasabu nyingine ni hizi hapa.
1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.
2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.
3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa Kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama Kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.
Bwana Sifiwe-AsalamuAleikumu.
Wewee kwenda zako kule wasukuma walijiaminisha kwamba wamepata mungu wao wakamtia ujinga akajiona anaelekea kuwa mungu na kwa sababu mungu hataki wanafiki akamtwaa ,Hapa unatania au unatoa mipasho?
Kama maneno uliyoandika hapo juu yametoka moyoni kwako basi ndio hukumu yako hiyo usije ukaijutia.
Usiingize ukabila wakati mtu anatoa maoni yake kwa uhuru hakuna sheria inayolazimishwa kufuata mtazamo wako usioeleweka na kuaminika.
Mnawatweza sana wasukuma, lakini watakapo waadhibu kwa uropokaji wenu msijilaumu kwa kuendekeza majivuno na dharau
Na sio Bwana asifiwe pekee coz mabwana wako wengi tu, ni Bwana Yesu Asifiwe!Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.
1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.
2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.
3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.
Bwana Sifiwe, Asalamu Aleikumu
Dogo umechanganya madesa. Mtoa uzi anazungumzia salamu. Je, Rais akitoka Chadema naye ataitumia hiyo salamu? Kosa la Mama ni kuchanganya slogan yake "Kazi Iendelee" na salamu. Akina Obama, Trump hata Magufuli hawakufanya hivyo!
Tungendelea na salamu zile zile za "Tumsifu Yesu Kristo", Assalam Alleiykum", Bwana Asifiwe" ingekuwa poa tu. Kwanza tushazizoea. Pili zinatuweka karibu na Mungu. Au Mama anamuogopa Mungu?
Kwenye uzi huu Kuna mtu nimemuuliza, je, ni wakati sasa kuondoa maneno "Mungu Ibariki...." kwenye wimbo wetu wa Taifa?Hii nchi ni ya watu wote sio waamini Mungu tu. Hivyo kunasibisha kila kitu na Mungu ni kuwakosea wasioamini uwepo wake. Na Mkiamua kumtaja Mungu watajeni miungu wote. Nilishajibu hili mstari wa kwanza tu. Hujui kusoma?
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.
1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.
2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.
3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.
Bwana Sifiwe, Asalamu Aleikumu
Kwenye uzi huu Kuna mtu nimemuuliza, je, ni wakati sasa kuondoa maneno "Mungu Ibariki...." kwenye wimbo wetu wa Taifa?
Na ni mbinu za kukwepa kusema Bwana Yesu asifiweKwanza kusema nawasalimu kwa jina la Jamhuri maanake hatuamini uwepo wa MUNGU, ni dhihaka kubwa sn mbele za MUNGU.