chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
mi ndo nshafika hivyo...na huo uduni wa mwanamke bado sijauona.
Pia na mabwege halafu ni mashamba na ni mahongaji makubwa tu.Haina haja hata ya limbwata utayaendesha utakavyo.Si ndio raha yenu nyie mabinti.Pambav..
Sawa mama tusikuchefue na ngalu wako wa kisukuma....ila hiyo iwe changamoto kwako kujiandaa kutetea hoja unazoleta na lengo letu si kukuchonganisha na baby wako wa kisukuma ...hapana ila ni kutaka uthibitishe na si vinginevyo....enjoy 9t na my husband wako,ila ntakuona unabusara sana siku yakikushinda unitumie kasms kwenye secrety box ,japo sipendi yatokee lakini kwa kigezo chako hicho na niwajuavyo hao mabwana it's soon
Chu yashiga chene!bhebhe Nyani Ngabu ng'welage ung'wanike o'ng'wenuyo ize ahaa nantogagwa nho!
Sio mna care ni mabwege
Hapo unatuonea aisee tunafanya mchakato wa kufungua mashitaka, unajua wasukuma wapo wengi na ni wahangaikaji sana na wazee wa kujitutumua kutoka point A kwenda B kuuza bidhaa zao hivyo kwa kuwa wanafika maeneo ambayo ni mapya na kwa kuwa ni wengi wanaingia mijini kuuza mali zao kama kawaida inakuwa rahisi kwa baadhi yao kuonekana washamba. Makabila mengine hayaonekani washamba kwa kuwa wajanja wachache ndio wenye uwezo wa kuleta mali mjini wengine wamebaki vijini hawana cha kupeleka mjini, sasa kwa wasukuma wengi wao kwa miaka ya nyuma walikuwa wana cha kuuza na kuleta mjini na ndio maana ni rahisi kutuweka group la washamba kwa kuwa mjini ni mjini hata kama umekulia let say nje ya jiji la Dar siku ya kwanza kutia timu jijini lazima ubabaike kidogo sembuse ndugu zangu wa Itabangunba, Wemasonga, Mwamashimba, kikubiji n.k.
Sisi ni waungwana ila kwa upande mwingine unahitaji uzoefu wa kujua tabia za msukumu maana unaweza ukaongea nae na akakuambia hakuna shida ajabu ukija kesho yake unakuta kile ambacho umekubaliana nae hajatekeleza hapo ujue amekuona hufai akakupa hope
Sio mna care ni mabwege
mkuu huyu dada mi mwenyewe kaniacha hoi mi si msukuma ila nimekulia na bado naishi nao .nawafahamu mwanamke kwa msukuma ni duni sana kama ilivyo kwa wayahudi
Hata wakiongea kisukuma, kama kuna glass yenye ufa karibu, inapasuka kwa jinsi wanavyotumia nguvu hata kwenye kuongea.Nawapenda sana yaani they care a lot and gud enough wana nguvu kitandani
kongosho mimi nipo na wewe tu.Hujakosea aisee
Ila hawa wajukuu zangu wa ushamba mmoja wa kuvaa vyuma mwilini na kudhan kila mtu ni msukuma!!
hahaha,how?
come up with your own research so that u can challenge mine.
Ahh, haya bana, sisi Wanyamwezi wa Kusini (Wadakama) ngoja tujikalie kimya.
Wasukuma mmeshapendwa, kachamkieni deal hizoo.
FirstLady1 dada yangu, anza kukusanya Mawifi kwa kaka zako wa Kisukuma. Wakizidi basi sema wewe Mnyamwezi 🙂