Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 756
- 696
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

hawatahiri[/QUOTE]
NATURAL MEN..AS THE DAY GOD CREATED THEM NO PIECE OF FLESH HAS BEEN REMOVED FROM THEIR BODIES....GOVI.NDERS
uliwaona wangapi magovi??kweli hii sredi imewashika na kuwaudhi watu.
uliwaona wangapi magovi??kweli hii sredi imewashika na kuwaudhi watu.
mimi sijaudhika. Nachangia tu kama wengine na sifa kuu ya wasukuma WENGI kama wahaya na wanyakyusa HAWATAHIRI
Wakurya ndo wanaojua kupenda kuliko makabila mengine. queeny jaribu mkurya uone raha yake...
Sio mna care ni mabwege
Haitaji kamusi.......maana yake anakuwa harshly treated na hii haina chuki ila ni ukweli ulio wazi
me ni mwamume wa kisukumma,tena shinyangaaa,tena tuko wapore haswaa
wao wanakupenda?habari zenu... Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc. Wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi. Trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. I know what am talking about. Nb; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
me ni mwamume ojirino wa kisukumma shinyangaaa,tena tuko wapole haswaa
Kama ni wanawake kua treated harshly iyo ni kwa makabila mengi tu Tz..na afrika kwa ujumla..
Mi naunga mkono hoja wanaume wa kisukuma bwana they r so caring, whtever u may call them lakin ukweli ndo huo, they are so nice THEY KNOW WHAT A WOMAN WANTS................Hongeren kaka zanguuuuuuuuuuuuuuu:smile-big: