Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.