Nawapenda maadui zangu hawa wa muda mrefu JF..

pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.

Mie nakupenda sana bila wewe hata Jf huwa siionei raha. Sasa huo uadui wa muda mrefu umetoka wapi wakati inaonesha umo humu kwa miezi kama 6 tu mpaka sasa, au una ID nyingine?
 
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.

Leo kumbe wewe ni mchagga! Baasi .= baadhi
 
fanya sherehe ya kufa mtu,waalike halafu waombe msamaha. Nalog off
 
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.
Haya bana! Ujumbe umefika..nitakuwa nakuchukulia kama unavyonichukulia
 
Back
Top Bottom