GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
"Mwanamke awapo Hedhini anatakiwa Kuvaa Pedi ( Sodo ) kwa Saa 3 au 4 tu, ila Wanawake Wengi wanazivaa kati ya Saa 8 hadi Saa 12 kitu ambacho ni Hatari mno kwa Afya zao"
"Wanawake wengine ili Kupunguza Harufu Kali ya Damu yao ya Hedhi huamua Kujipulizua Pafyumu kitu ambacho ndiyo Hatari maradufu Kwao"
"Uke wa Mwanamke yoyote una Bacteria wazuri ambao hupambana na Hatari yoyote hivyo uvaaji wa Pedi kwa muda mrefu, Upuliziaji wa Pafyumu na Uvaaji wa Skin Tights zao husababjsha Joto Kubwa na Kali Ukeni ambao huwazidi Nguvu Bacteria wazuri kisha Kuzalisha Bacteria wabaya ambao husababisha Uke wao Kuwawasha, kutoka na Fangasi na kutoa Harufu Kali ambayo Siku hizi imekuwa ni Kero Kubwa kwa Wanaume wengi nchini"
Nukuu zote hizi GENTAMYCINE nimezitoa kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na akina Mama jana Usiku Saa 4 alipoalikwa Wasafi FM katika Kipindi cha Usiku kinachoongozwa na Mtangazaji Diva The Boss.
Dada zangu JF Elimu hii iwasaidieni!!