Nawaonea wivu watu maarufu jf.

Nawaonea wivu watu maarufu jf.

Wahenga walisema " Wivu ni kidond, .................". Malizia mwenyewe.
 
Unatamani kuwa maarufu kwenye fani ipi haswa. BAK mpe dogo ngoma anatamani umaarufu kama wako.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha lol! Mie si maarufu banaaaa 🙂🙂....napenda kupambana na MACCM yako hapa kibao napambana nayo kila nafasi inaporuhusu.




Unatamani kuwa maarufu kwenye fani ipi haswa. BAK mpe dogo ngoma anatamani umaarufu kama wako.
 
Last edited by a moderator:
usijali mbona ID yako fupi tu ,utakuwa maarufu
 
Weka picha zako za utupu hapa JF utakua maarufu next day
 
Hahahaha lol! Mie si maarufu banaaaa 🙂🙂....napenda kupambana na MACCM yako hapa kibao napambana nayo kila nafasi inaporuhusu.



Daaah. Haya BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom