Nawaonea wivu watu maarufu jf.

Nawaonea wivu watu maarufu jf.

Ni wewe tu, Wewe shinda humu mwanzo mwisho,ukiposti na kufuatilia thread. Pia hao wenzio sio wa leo humu,kuna watu toka 2006 wapo haja jamvini,toka jamvi halijabadilishwa jina.
TAHADHARI: Angalie usishinde humu JF ukalisha familia nyasi.Tunatofautiana namna ya kupata ridhiki.
 
Wala usijali JEKI,tatizo ni umaarufu au kutajwa tu!
 
Last edited by a moderator:
Ntaanza kuwa nakutaja. Ila umwage mipwenti basi JEKI
 
Last edited by a moderator:
Ok... Olewa au Oa utakua maarufu mara moja!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
teh teh teh.teh.teh.teh hata mimi nataka umaarufu!
 
Back
Top Bottom