Nawakumbusha tu: Kutoa mimba ni kuua, tujihadhari na dhambi hii kubwa kuliko maelezo

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,111
2,000
Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba.

Kila kiumbe Bila kujali hatua kilichofikia, kina HAKI ya kuishi sawa na Waliozaliwa. TULINDE NA TUTUNZE UHAI.
 
IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
576
1,000
Nilipokua sekondari kuna dada mmoja hivi mwanafunzi alikua ana mahusiano na mwalimu. Sasa kilichotokea yule mwalimu alimpa mimba mimba ikakua ikafika miez mitatu wakakubaliana watoe mimba.
Bas ikabid jamaa amuite docta ili hio shughuli wakafanyie geto kwake aise kwel ile mimba ikatolewa lakin yule mwanamke akaanza kuishiwa nguvu ana akafariki. Walichokifanya wakaibeba ile mait na kuiteleza balabalan usiku ili igongwe wapoteze ushahidi, kuna bas ikawa inakuja dereva akaiona wakastuka wakapiga sim polis wale wote waliofanya wanasota jela mpaka leo
 
Duh: wapi hii mkuu
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,127
2,000
Mungu Baba atusamehe, hii ni dhambi kubwa tunaitenda wanadamu kwa kusudi,tukidhania kiumbe Cha saa,siku chache sio tatizo.Kila mmoja achukue tahadhari muhimu kuepuka mimba isiyotarajiwa.
 
Google chrome

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,243
2,000
Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba.

Kila kiumbe Bila kujali hatua kilichofikia, kina HAKI ya kuishi sawa na Waliozaliwa. TULINDE NA TUTUNZE UHAI.
Katika kujadili hii mada inatakiwa tuhusishe theory 2 ambazo ni pro-life & pro-choice.

People who identify as pro-choice believe that everyone has the basic human right to decide when and whether to have children. When you say you’re pro-choice you’re telling people that you believe it’s OK for them to have the ability to choose abortion as an option for an unplanned pregnancy.

People who oppose abortion often call themselves pro-life.

Kila watu hapo wana points za kutetea upande wao
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,960
2,000
Dhambi ni uzinzi

Kutoa mimba sio dhambi, mwishowe utasema hata kumwaga nje ni dhambi.

Mtoto ni Yule aliyezaliwa.

Sema kimaadili ya kijamii kutoa mimba inaweza likawa Jambo baya Sana lakini kusema ni kuua. Hapo nitakukatalia.

Kuua lazima kuwe na mambo kadhaa ya lazima.
Muuaji lazima awe na jina.
Aliyeuliwa lazima awe na jina.

Kutoa mimba sio kuua Ila ni kosa kimaadili ya baadhi ya jamii.
 
  • Thanks
Reactions: 5ty

kutoa mimba ni kuua! Wazazi wako wangetoa mimba yako, UNGEZALIWA? tafakari vizuri, kutoa mimba ni kuua.
 
Sera park

Senior Member
Feb 21, 2021
153
250
Hii mada mtachangia wanaume wengi kwa sababu hizo mimba hambebi nyie na pia wadada wakizaa kabla ya kuolewa mnaanza kuwaita single mother na hawafai kuolewa, bado mimba za kukataliwa hapo
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
23,470
2,000
Nilipokua sekondari kuna dada mmoja hivi mwanafunzi alikua ana mahusiano na mwalimu. Sasa kilichotokea yule mwalimu alimpa mimba mimba ikakua ikafika miez mitatu wakakubaliana watoe mimba.
Bas ikabid jamaa amuite docta ili hio shughuli wakafanyie geto kwake aise kwel ile mimba ikatolewa lakin yule mwanamke akaanza kuishiwa nguvu ana akafariki. Walichokifanya wakaibeba ile mait na kuiteleza balabalan usiku ili igongwe wapoteze ushahidi, kuna bas ikawa inakuja dereva akaiona wakastuka wakapiga sim polis wale wote waliofanya wanasota jela mpaka leo
Duhh... Tukio la kutisha. Ilitokea wapi hii!??
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,342
2,000
Nilipokua sekondari kuna dada mmoja hivi mwanafunzi alikua ana mahusiano na mwalimu. Sasa kilichotokea yule mwalimu alimpa mimba mimba ikakua ikafika miez mitatu wakakubaliana watoe mimba.
Bas ikabid jamaa amuite docta ili hio shughuli wakafanyie geto kwake aise kwel ile mimba ikatolewa lakin yule mwanamke akaanza kuishiwa nguvu ana akafariki. Walichokifanya wakaibeba ile mait na kuiteleza balabalan usiku ili igongwe wapoteze ushahidi, kuna bas ikawa inakuja dereva akaiona wakastuka wakapiga sim polis wale wote waliofanya wanasota jela mpaka leo
kuna bas ikawa inakuja...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom