LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Hii serikali yetu kila mtu ana utawala wakeHuko ccm ndio kunawafaa,yani baba utopolo,mama,utopolo,watoto utopolo, wajukuu utopolo....huko ukiwa na akiwa zenyewe hubadilika tu unapopewa cheo.
Huyu utopolo sijui kakalia kitu kigumu anaharisha tu
.View attachment 1656798
Huyu awacharaze watu fimbo,
Huyu angoe pkate namba kwenye magari, huyu aseme ukikutwa hifadhi uuwawe, yaani mambo ni mengi