Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

Lengo ni kuwakilisha wananchi bungeni, hayo ya Uanachama watajua CHADEMA, mbona hadi leo hawajapeleka barua NEC ya kuwavua uanachama 😂, wanaogopa nini? Au CHADEMA wangeenda mahakamani kudai haki yao, saini imegushiwa wanasema. :oops:Mbona Ruzuku wamechukua kama hawawatambui:oops::oops:
 
Siasa siyo uadui.

Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.

Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.

Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Safari hii LAKUNDA HALINA UBANI.
Mmechoma udi, ubani, mpaka uvumba na manemane, imefika mahalo harufu ya maiti imevishinda vyoteee!!
 
Watakata rufaa wakati hakuna barua ya kuwateua?
hawa ndugai ndie anajua 'walikotokea' CDM haijui walifikaje ktk 'kamati ya ccm'
 
Chadema ni ya wote!
@johnthebaptist kama wanaipenda CHADEMA watakata rufaa, lakini wakikaa kimya ujue upo upande waliochagua. Watakua wanasikiliza kwanza ushauri kutoka kwa aliyewaambia atawalinda kwa nguvu zote. Tuwape muda wachague lililo jema.
 
hela ya CCM ukiila then ukawageuka aiseee, nafikiri hapa ndipo ugumu ulipo kwa hawa wadada - yule katibu mkuu aliyetimkia CCM aliwauza vibaya mno
 
Ilitakiwa wakikata hiyo rufaa waite press wajulishe Kila mtu?Kama sio, mtu unajuaje kama hawajakata rufaa
 
Siasa siyo uadui.

Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.

Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.

Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Wala hawana haraka wamehakikishiwa nafasi zao za ubunge na spika wa ccm
 
Siasa siyo uadui.

Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.

Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.

Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Hayakuhusu. Mbona kiherehere hivyo? Kilikoni?
 
Achana na siasa kijana utapasuka kichwa
Au unaingiza kipato hapo........
Njoo tujumuike kwenye uzi wa medem na warembo wakali

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom