Nawaheshimu walimu

Unamshauri afanye Biashara, Biashara ni Nzuri, mara ajiajiri asikubali kuajiriwa...UNAMPA MTAJI?

Unamlinganisha na Wahindi na Waarabu wanaorithi mamilioni ya pesa kwenye account zao toka kwa Babu zao?

Muwe mnaongelea uhalisia kwa kumzingatia Mtu wa chini asiye na chochote cha kuanzia.
 
Kwani hiyo field uko peke yako hapo ofisini?
 
Natamani kweli ningesomea ualimu tuu nipate mshahara wangu Kila mwisho wa mwezi na nikistaafu Nina mafao yangu ya uhakika
Lakini ndo hivyo sikujua
Soma post graduate faster kabla serikali haijabadili sera. Usichelewe, jiunge open kama huna mfadhiki uchukue digrii yako ya ualimu.
Unachosema ni sahihi ualimu hata usipo ajiriwa serikalini zipo sekta binafsi au kujiajili wewe nwenyewe au kwenye multimedia platform.
UALIMU NDIO SEKTA YENYE FURSA NYINGI SANA UKIONDIA SCIENCE AND BUSINESS.
Kuna watu wanatunga vitabu na kusambaza mashuleni na mtaani wanapiga hela wanaenda kuanzisha mambo mengine(sio hadithi nawaona) tena tuvitabu cheap!
Kama una hoby na talent + elumu yako unaweza anza kufundisha bila kupitia ualimu, jifunze wenzio wanapitaje nawe pita hio njia.
Naweza kukupa mbinu za kuanza hasa kama kwenye majiji sio vijijini but uwe commited.
Kumbika UALIMU ni wito pesa ni matokeo. Usije huku kwa ajili ya kutajirika utaumiza jamii.
 
Kwani hiyo field uko peke yako hapo ofisini?
Anyway inaweza isi-workout kwa Kila mtu kutokana na yy anavoona na anavjitoa katika alilolikusudia, mfano wengi waliokua wanafanyia field Azam sijaona aliewahi pata fursa kwa sababu walikua wanachukua watu wengi wanapangiwa wiki then wiki yako ikiisha ndo bas lkn maeneo mengn watu tulipata fursa ningekutajia hata maeneo
 
Sina mfadhili na pia sina hata Mia kwa sasa hali yangu ni mbaya kweli kweli
 
Intern kwa sasa kufukuzwa au kuacha kazi ni rahisi mnooo. Kuna ofisi niliptaga inten mwaka Jana baada ya kumaliza chuo. Mwaka huu mwez wa pili nikajiengua. Kenge wale
 
Elimu nayo ni biashara. Watu wanatajirika kwenye elimu.
Mtu anaemiliki shule hafanyi biashara ?
Kwa nini mnawaza elimu ktk muktadha wa kufundisha tu na kuajiriwa .
Hiu sekta ni kubwa kana mtu ataielewa.
Mda huuu kuna watu wana andaa viatu kwa ajoli ya kuuxia wanafunzi jmdec na jsn wanapiga hela. Hio ni fursa iliozunguka sekta ya elimu, kuna uniform za wanafunzi, kuna dictionary nk nk.
Yuoone sekta ya Elimu kama fursa mkiendekea kuiona kama sekta oliodumaa shauri yenu. Kuna watu wanatajirika na hawawastui.
Ni kama hodpitali zaifi ya unesi na udaktari kuna biashara kubwa inayoizunguka hio sekta. Tubadili jinsi ya kufikiri.
 
Natamani hata ningeenda police Moshi /kilimanjaro niwe hata traffic lakini ndo hivyo umri umenitupa mkono
 
Nifanyaje Sasa mkuu Kwa sasa Sina muelekeo nipo nipo tuu
 
Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
Ishi wewe usipende kujishindanisha na watu utakufa kwa presha.

Tafuta mchongo wowote piga.
 
Ishi wewe usipende kujishindanisha na watu utakufa kwa presha.

Tafuta mchongo wowote piga.
Mchongo sijapata nawaza kusomea french nijikite kwenye utalii labda nitatoboa
 
Mkuu mconnect aingie kweny iz seminary.
 
Talk is cheap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…