Nawaheshimu walimu

mkuu ulifanya kosa gani??
 
Kuna muda wakati wetu utafika tu mkuu hakuna mwenye jitihada na mwenye kuamini aliyeandikiwa kukosa
Ameen Ameen kaka Mungu ataweka mkono wake inshallah. Aisee huku mtaani tunaishi na madeni, majungu mengi, vibarua hakuna ukipata ujira Mdogo, ajira ndio hivo nazo ngumu, ukisema ujaribu biashara mtaji huna. Dharau majungu mengi mtaani. Ila yote kheri
 
Ameen Ameen kaka Mungu ataweka mkono wake inshaly. Aisee huku mtaani tunaishi na madeni, majungu mengi, vibarua hakuna ukipata ujira Mdogo, ajira ndio hivo nazo ngumu, ukisema ujaribu biashara mtaji huna. Dharau majungu mengi mtaani. Ila yote kheri
Mimi naimani tu kaka wakati wetu utafika no matter tunapitia changamoto gan
 
Jiajili uwe fundi simu upande wa kupachika protector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…