Tatizo Sasa ushauri kama huu naupata too late kipindi Niko chuo hamna mtu wa kukumentorKwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.
Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
Hujawahi kua fukara kama mimi ndo maana unasema issue za mentorshipTatizo Sasa ushauri kama huu naupata too late kipindi Niko chuo hamna mtu wa kukumentor
Yaani unajikuta unajifanyia mambo mwenyewe tuu bila muongozo hasa Kwa sisi yatima tusio na wazazi ndugu hawahangaiki kabisa
We unazungumzia 2017 juzi hapa, Kuna sister alimaliza 2013 ajira kapata 2023Ualimu nao inategemea ni wa somo gani. Nina rafiki yangu kamaliza chuo toka mwaka 2017 kozi za history na kiswahili kasambaza vyeti na CV kila kona lkn ajira hakuna.
Sasa hivi yupo kitaa anakaanga chips na maisha yanasonga!
Hii course yako sio rafiki kwa ajiraIfm social protection
Watanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.
Najuta natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yamgekua na afadhali muda huu ningekua nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba
NB: Majuto ni mjukuuu
Mtu akisoma hapa ataona ni rahis, ila awe ndani ya cycle sasa ndo atajionea uhalisia.Kwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.
Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
Uhalisia upi unazungumzia cocastic? Nawajua wengi waliofanya hv hata mm nlifanya hvo japo baada ya kuhitimu nlipata penye maslahi mazuri kidogo, saivi mazingira ya fursa za ajira yamebadilika na sisi tubadilishe namna ya kuapproach hz fursa tusijifiche kwenye chaka la uhalisia/connection/Hela japo vinarahisishaMtu akisoma hapa ataona ni rahis, ila awe ndani ya cycle sasa ndo atajionea uhalisia.
kwanini wewe si ulikua mlinzi chief?Maisha ni bahati ndugu yangu, tengenezs njia Yako Wala usitamani kuwa Fulani, sasa huyo Fulani nae akiitamani kuwa wewe unadhani itakuwaje...?
Mimi nilishawahi kuajiliwa kiukweli maisha yangu yalikuwa magumu Hadi siku niliyo amua kuacha kazi ndio niliyafurahia maisha.
Ajira za kiTanzania ni utumwa sana wanaoifurahia keki ya hii nchi ni wachache sana lakini walimu😭😭😭😭
Hakuna kitu Wala usiwatamani. Kikubwa muombe sana Mungu akusimamie upate kulifahamu kusudio lako la kuletwa Duniani.
Japo biashara ni nzuri Zaidi fanya biashara utatoka. Tujifunze Kwa wenzetu wahindi au warabu wa hapa nyumba umeshawaona wakihangaika hizo ajira...?
Unadhani awajasoma...?
Wenzetu wanasomea vitu vyenye tija. Sisi tunasoma kufuata mkumbo. Muhindi atasoma ualimu kwasababu wanamiliki shule. Akimaliza kusoma ualimu wake anaenda kuitumikia shule Yao😭😭😭
Lakini wengi wanasomea biashara kwaajiri ya kuendesha biashara zao.
JIAJIRI....AJIRA NI UTUMWA
Ualimu amaWe unazungumzia 2017 juzi hapa, Kuna sister alimaliza 2013 ajira kapata 2023
Unabett na kampuni gani chiefKaribu kwenye betting mkuu, mechi za leo odds kibao mshiko wakutosha leo leo unatoboa
1XBET karibu mkuuUnabett na kampuni gani chief
community development mtu wa social protection annaaplyNimejisajili kazi zetu hazitangazwi za social protection
Biashara nayo siyo rahisi kiivyo unafikiria. Bongo kutoboa ngumu sana labda utumie uchawi au uroge bila hivo hutoboi.Maisha ni bahati ndugu yangu, tengenezs njia Yako Wala usitamani kuwa Fulani, sasa huyo Fulani nae akiitamani kuwa wewe unadhani itakuwaje...?
Mimi nilishawahi kuajiliwa kiukweli maisha yangu yalikuwa magumu Hadi siku niliyo amua kuacha kazi ndio niliyafurahia maisha.
Ajira za kiTanzania ni utumwa sana wanaoifurahia keki ya hii nchi ni wachache sana lakini walimu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hakuna kitu Wala usiwatamani. Kikubwa muombe sana Mungu akusimamie upate kulifahamu kusudio lako la kuletwa Duniani.
Japo biashara ni nzuri Zaidi fanya biashara utatoka. Tujifunze Kwa wenzetu wahindi au warabu wa hapa nyumba umeshawaona wakihangaika hizo ajira...?
Unadhani awajasoma...?
Wenzetu wanasomea vitu vyenye tija. Sisi tunasoma kufuata mkumbo. Muhindi atasoma ualimu kwasababu wanamiliki shule. Akimaliza kusoma ualimu wake anaenda kuitumikia shule Yao[emoji24][emoji24][emoji24]
Lakini wengi wanasomea biashara kwaajiri ya kuendesha biashara zao.
JIAJIRI....AJIRA NI UTUMWA
Kapige veta udereva mzee au hata NIT pale utapitia msoto ila ishu zitakaa sawa tu katika kula na nkSina ujuzi mwingine Nina waza nikasomee tour guide lakini ada nayo changamoto
Suka mwingine kaka hii imeenda mpatie Romano chenchi kadhaa1XBET karibu mkuuView attachment 2807602
Hiyo ilikuwa jana. Leo napumzika nivute nguvuSuka mwingine kaka hii imeenda mpatie Romano chenchi kadhaa