Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Pole sana dada,kumgundua huyo mwanaume,ni MUNGU anakuonyesha kuwa hilo ni chaguo lako nakwakuwa ni chaguo lako,wewe hukuona ndani wakati ukichagua,sasa mshukuru yeye aonae ndani,subiri bila kuwa na mpenzi mwingine,muombe sasa akuchagulie yeye,utashangaa utapata mtu atakae kuwa nawe kwa uaminifu,na siku moja huyo aliekufanyia vituko atajuta
 
Uvumilivu umeagizwa kwa wote, mliambiwa "mtupende" hebu rejea biblia inasema nini kuhusu "upendo" maana Mungu alijua mkitupenda mtazishinda tamaa zingine zoooote, sasa iweje ifikie eti mkeo anakuudhi hadi huwezi kuvumilia? Basi jua wewe ni kimeo zaidi yake.

Ni kweli shemeji ila wanawake wakiishiwa na uvumilivu ndio inakuwa hatari mno, ndio maana nasema kwamba girlz they need to do soo ku rescue mambo....la sivyo.. mambo yataharibika
 
Subiri akija umueleze mwenyewe, mie kazi yangu imeisha, na si unajua mie ni marufuku kuniita kwenye vikao vyenu vya usuluhishi? Mie mnipege taarifa tu.

Teh teh...sawa...
 
Mungu mkubwa, tatizo la ndakushima Inaelekea kutatuliwa kati ya hizi njemba mbili The Boss na Mentor
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

= baadhi
= hawaridhiki

Huyo mwananamme unaeongolea hapa ni mumeo au hawara tu?

Kama ni hawara tu, jiulize wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Kama ni mumeo basi nnashaka hujachezwa, ukichezwa hafurukuti.

Baki njia kuu!
 
Sisi waafrika Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema katika mahaba alitupa upendeleo. Paja la binti/dada/mama wa kiafrika linatia wazimu "wanaume" kuliko hata mgao wa umeme. Ndio maana Bibi zetu waliwatafutia waume zao mpango wa kando kwa kujui mwanaume wa kiafrika hawezi kutulia na mtu mmoja.


Kingine kinahamasisha haya ni uvivu, jamii imejikuta ni ya watu wavivu wenye kupenda kula vizuri. Matokeo yake ndio hayo unayolalamikia.

Ushauri wangu tafuta mjapani ili usiumizwe. Soma kitabu kinachoitwa "BIKIRA YANGU"

Oky thank
 
Ukiwapenda watakukaa akilini, ukiwachukia watakukaa akilini pia. Ukishindwa kuwapenda basi waignore tu then be happy na maisha yako. Afu ipo siku utampata "Mr right" wako na utasahau machungu yote. Ubaya wa huyo aliyekutenda usikubadili ukawa bad girl, wala usichukulie kuwa wanaume wote hawafai. Just keep on being a good girl.

Thank you myner for this nice one
 
According to maelezo yake, hata kama ana mapungufu yake ( no one is perfect), she seems to be a good girl

Yaaah sure heaven haujakosea kuna wanaume jmn hawabebeki..jitu unaliheshimu,unafanya vyoote vya duniani alfu kumbe nguv ulizo kuwa unatumia ni kwa mtu hajui mbele bt thanks God for everything
 
Ni kweli shemeji ila wanawake wakiishiwa na uvumilivu ndio inakuwa hatari mno, ndio maana nasema kwamba girlz they need to do soo ku rescue mambo....la sivyo.. mambo yataharibika

Kwahiyo mmejiandaa kabisaaaa kufanya ufirauni wenu mkijua tutawavumilia? Siku hizi hatuvumilii ujinga wa makusudi huo.
 
Ujinga ni Pale Unapoumizwa na Mmoja kisha kutuchanganya Wanaume wote... Hivi Umeshawahi kuambiwa wanaume wote tupo sawa Kimawazo, kimatendo na Kifkra? kuwaingiza wanaume wote kwenye kosa lililofanywa na Mwanaume mmoja nikutukosea Heshima.

Kam umesoma vizur nmesema baadhi bt among of the ni wale wale ni mia kwa mmoja
 
Pole bola uje kwangu mm nmeokoka hta kutongoza n shida hpa nazani mungu ametukutanisha.
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Heeee !! Aujakutana Na Wako Bado.
 
pole dada ila jua hata maandko yanasema kila jarbu litapta hvyo muombe mungu na uskmbilie kumuacha muombee xana na mungu atajbu

Amina kam kuomba naomba sanaa hata leo nmetoka kusali novena bt all in all my be ni hasira bt only god knows
 
Back
Top Bottom